• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ▼  2024 (832)
    • ▼  Desember (57)
      • YANGA SC 5-0 FONTAIN GATE (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
      • COASTAL UNION YAAMBULIA SARE KWA KMC, 1-1 ARUSHA
      • PACOME AFUNGA MAWILI YANGA YAICHAPA FOUNTAIN GATE 5-0
      • M-BET, HALOPESA WAANZA KUMWAGA ZAWADI ZA WASHINDI ...
      • DODOMA JIJI FC YAIKUNG’UTA MASHUJAA 3-1 JAMHURI
      • SINGIDA BLACK STARS 0-1 SIMBA SC (LIGI KUU YA NBC ...
      • SIMBA SC YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LIGI KUU, YAI...
      • AZAM FC YATOKA NYUMA NA KUICHAPA JKT TANZANIA 3-1 ...
      • SERENGTI BOYS YACHAPWA 2-1, UGANDA NDIO MABINGWA C...
      • TANZANIA PRISONS YAICHAPA PAMBA JIJI 1-0 UWANJA WA...
      • DODOMA JIJI 0-4 YANGA SC (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
      • MZIZE AWEKA MBILI NYAVUNI YANGA YAICHAPA DODOMA JI...
      • NAMUNGO FC YAICHAPA FOUNTAIN GATE 2-1 PALE PALE BA...
      • SIMBA SC 1-0 JKT TANZANIA (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
      • SINGIDA BLACK STARS YAICHIMBIA KABURI KENGOLD, YAI...
      • ZUBERI FOBA MASUDI AONGEZA MKATABA AZAM FC HADI 2027
      • YANGA SC 4-0 TANZANIA PRISONS (LIGI KUU YA NBC TZ ...
      • YANGA SC YAICHAPA TANZANIA PRISONS 4-0 MWENGE
      • KAGERA SUGAR 2-5 SIMBA SC (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
      • MUKWALA APIGA MBILI SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 5-...
      • NAMUNGO FC YAAMBULIA SULUHU KWA JKT TANZANIA RUANGWA
      • KOCHA MOROCCO AITA 30 KUUNDA ZANZIBAR HEROES YA KO...
      • YANGA SC 3-2 MASHUJAA FC (LIGI KUU YA NBC TZ BAEA)
      • DUBE APIGA HAT TRICK YANGA YASHINDA 3-2 DHIDI YA M...
      • SIMBA SC 2-0 KEN GOLD (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
      • ATEBA APIGA ZOTE MBILI SIMBA SC YAICHAPA KEN GOLD ...
      • VINICIUS MWANASOKA BORA WA MWAKA WA FIFA, ANCELOTT...
      • WASHINDI WA SHANGWE LA SIKUKUU LA LEONBET WAPATIKA...
      • AZAM FC WAIPIGA FOUNTAIN GATE 2-0 NA KUJITANUA KIL...
      • TABORA UNITED YAAMBULIA SARE KWA COASTAL UNION, 1-...
      • ADEMOLA LOOKMAN NA BABRA BANDA NDIO WANASOKA BORA ...
      • KMC YAICHAPA PAMBA 1-0 BAO LA HANCE DAKIKA ZA JIOONII
      • SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA TANZANIA PRISONS 2-0 ...
      • NAMUNGO FC YATOKA NYUMA KWA MABAO MAWILI NA KUICHA...
      • YANGA YAOKOTA POINTI YA KWANZA LIGI YA MABINGWA, 1...
      • MAKAMBO AFUNGA MABAO MAWILI TABORA UNITED YAICHAPA...
      • FOUNTAIN GATE YAICHAPA COASTAL UNION 3-2 TANZANITE...
      • KMC NA MASHUJAA NGOMA NGUMU MWENGE, ZAGAWANA POINT...
      • SINGIDA BLACK STARS YAIBANJUA DODOMA JIJI 2-1 BAO ...
      • KAGERA SUGAR YAAMBULIA SARE KWA NAMUNGO, 1-1 KAITABA
      • PAMBA JIJI YAWABANA JKT TANZANIA, MECHI YAISHA KWA...
      • M-BET, HALOPESA KUWAZAWADIA MASHABIKI WA SOKA KUPI...
      • YANGA SC YAMSAJILI BEKI WA ZAMANI WA SIMBA ISRAEL ...
      • SIMBA SC WACHAPWA 2-1 NA CONSTANTINE ALGERIA
      • YANGA YACHAPWA 2-0 TENA LIGI YA MABINGWA AFRIKA
      • AZAM FC YAWACHAPA IRINGA 4-0 KOMBE LA TFF CHAMAZI
      • SALIBOKO AFUNGA MAWILI KMC YAICHAPA BLACK SIX 5-0 ...
      • SHABIKI WA YANGA NA MAN UNITED ASHINDA MILIONI 20...
      • YANGA SC YABORESHA BENCHI LA UFUNDI, YAONGEZA KOCH...
      • JKT TANZANIA YASONGA MBELE KOMBE LA TFF BAADA YA K...
      • KAGERA SUGAR YAAMBULIA SULUHU KWA PRISONS KAITABA
      • NDUGU WA MALAWI WAWANIA TUZO YA MWANASOKA BORA WA ...
      • CHIKOLA MCHEZAJI BORA, TOUSSI KOCHA BORA LİGİ KUU ...
      • MJUMBE BODI YA WAKURUGENZI AZAM FC AFIWA NA BABA Y...
      • COASTAL UNION YAICHAPA TANZANIA PRISONS 2-1 ARUSHA
      • AZAM FC YAITANDIKA DODOMA JIJI 3-1 PALE PALE JAMHURI
      • PAMBA JIJI YAILAMBA KEN GOLD KIDUDE KIRUMBA SHUGHU...
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » NDUGU WA MALAWI WAWANIA TUZO YA MWANASOKA BORA WA KIKE AFRIKA

NDUGU WA MALAWI WAWANIA TUZO YA MWANASOKA BORA WA KIKE AFRIKA


WANASOKA wawili ndugu wa Malawi, Tabitha na Temwa Chawinga wameingia kwenyen orodha ya mwisho ya wachezaji wanaowania Tuzo ya Mwanasoka Bora wa Mwaka Mwanamke barani Afrika – wakichuana na Sanaa Mssoudy wa Morocco, Chiamaka Nnadozie wa Nigeria na Barbra Banda wa Zambia zitakazotolewa Desemba 16 Jijini Marrakech, Morocco.
Tabitha anayechezea Olympic Lyon ya Ufaransa baada ya awali kuchezea PSG na Inter Milan na Temwa anayechezea Kansas City Current ya Marekani aliyojiunga nayo mwaka huu akitokea Wuhan Jianghan kufutaia awali kuchezea Kvarnsvedens IK ya Sweden – wote ni washambuliaji.
Katika orodha ya mwisho ya wanaowania Tuzo za CAF kwa Wanawake kwa mwaka 2024 iliyotolewa leo, Tuzo ya Mwanasoka Bora wa Kike Anayecheza Afrika imekutanisha wachezaji watatu wa AS FAR Rabat ya Morocco ambao ni Doha El Madani, Khadija Er-Rmichi na Sanaâ Mssoudy wanaochuana na nyota wawili wa TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Merveille Nanguji na Lacho Flora Marta.
Mnigeria, Chiamaka Nnadozie wa Paris FC ya Ufaransa ndiye pekee achezaye Ulaya anayewania Tuzo ya Kipa Bora wa mwaka Mwanamke, akichuano na Fideline Ngoy wa TP Mazembe, Habiba Sabry wa FC Masar ya Misri, Khadija Er-Rmichi AS FAR Rabat na Andile Dlamini wa Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini.
Kuna mchezaji mmoja tu anayecheza Ulaya anayewania Tuzo ya Mwanasoka Bora Chipukizi wa Kike, Mmorrco Lina Mokhtar Jamai wa Paris Saint-Germain anayechuana na Mmisri, Habiba Sabry wa FC Masar, Mmorroco Doha El Madani wa AS FAR Rabat, Mnigeria Chiamaka Okwuchukwu wa Rivers Angels ya kwa na Muafrika Kusini, Nthabiseng Majiya wa Mamelodi Sundowns.
Mmorocco Lamia Boumehdi wa TP Mazembe ndiye Mwanamke pekee anayewania Tuzo ya Kocha Bora Soka ya Wanawake Afrika – akichuanana na Mmisri Ahmed Ramadan wa FC Masar, Mmorocco Mohamed Amine Alioua wa AS FAR Rabat, Mnigeria Christopher Musa Danjuma wa Nigeria U-20 na Muafrika Kusini, Thinasonke Phakamile Jessica Mbuli wa University of the Western Cape.
Tuzo ya Timu Bora ya Taifa inawaniwa na Cameroon U-20, Morocco, Nigeria, Afrika Kusini na Zambia – wakati Tuzo ya Klabu Bora ya Mwaka inawaniwa na TP Mazembe, FC Masar, AS FAR Rabat, Edo Queens ya Nigeria na Mamelodi Sundowns.



from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/HwEayXg best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang NDUGU WA MALAWI WAWANIA TUZO YA MWANASOKA BORA WA KIKE AFRIKA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2024/12/ndugu-wa-malawi-wawania-tuzo-ya.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 06.10
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • French Top 14: Toulouse v La Rochelle Preview
    French Top 14: Toulouse v La Rochelle Preview
    Toulouse can qualify for a 27th French domestic final with a semi-final victory over La Rochelle at the Stade Matmut-Atlantique on Saturda...
  • Hollywoodbets REFER A FRIEND Bonus
    Hollywoodbets REFER A FRIEND Bonus
    HOW TO REFER A FRIEND TO HOLLYWOODBETS Get R50 FREE when you Refer A Friend to Hollywoodbets.mobi! Learn how to participate in this promo...
  • Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    You could win a R200 Hollywoodbets betting voucher. Simply comment on the competition post who is your favourite jockey, trainer combo of ...
  • Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Stand a chance to win your share of R10 000 in cash and betting vouchers by playing our new Daily Predictor Game. R200 betting vouchers da...
  • Kenilworth Best Bets - Saturday 7 April 2018
    Kenilworth Best Bets - Saturday 7 April 2018
    Winning Form brings you their best tips for Kenilworth's racing on Saturday the 7th of April 2018. Tips provided by Winning Form, a...
  • UEFA Champions League: Matchday 3 Preview
    UEFA Champions League: Matchday 3 Preview
    Our football writer previews the UEFA Champions League matchday three action which kicks off on Tuesday 23 October 2018. Matchday three o...
Copyright Viral Sports: NDUGU WA MALAWI WAWANIA TUZO YA MWANASOKA BORA WA KIKE AFRIKA