TIMU ya Argentina imefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Dunia baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Uswisi katika mchezo uliodumu kwa dakika 120 Alfajiri ya leo Uwanja wa Arrowhead, Kansas City, Missouri, Marekani.
Mabao ya Argentina yamefungwa na kiungo wa Liverpool ya England, Alexis Mac Allister dakika ya 10 na washambuliaji, Julián Alvarez wa Atlético Madrid ya Hispania dakika ya 112 na Lautaro Javier Martínez wa Inter Milan ya Italia dakika 120.
Kwa upande wao Uswis bao Lao pekee limefungwa na winga wa Nottingham Forests ya England, Dan Assane Ndoye mwenye asili ya Senegal dakika ya 67.
Argentina sasa itakutana na England katika mechi kali ya Nusu Fainali Julai 15 Uwanja wa Mercedes-Benz, Atlanta, Georgia nchini Marekani.
England ilitangulia Nusu baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Norway usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Hard Rock Jijini Miami Gardens, Dade County, Florida, Marekani.
Mabao yote ya Three Lions yalifumgwa na kiungo mshambuliaji Jude Victor William Bellingham mwenye asili ya Kenya anayechezea klabu ya Real Madrid ya Hispania aliyefunga dakika ya 45’+2 na 93 katika mchezo uliodumu kwa dakika 120.
Kwa upande wao Norway bao lao pekee amefunga kiungo mshambuliaji wa Benfica ya Ureno, Andreas Rædergård Schjelderup dakika ya 36.
from BIN ZUBEIRY SPORTS — ONLINE https://ift.tt/DuXiUtm
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang ARGENTINA YAIFUATA ENGLAND NUSU FAINALI KOMBE LA DUNIA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2026/07/argentina-yaifuata-england-nusu-fainali.html. Terimakasih atas perhatiannya.