• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS — ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ▼  2026 (295)
    • ▼  Juli (25)
      • BETPAWA YADHAMINI LIGI YA KIKAPU DAR ES SALAAM KWA...
      • ARGENTINA YAIFUATA ENGLAND NUSU FAINALI KOMBE LA D...
      • JUDE BELLINGHAM AIPELEKA ENGLAND NUSU FAINALI KOMB...
      • JAYDEN ADAMS WA MAMELODI AFARIKI DUNIA
      • HISPANIA YAICHAPA UBELGIJI 2-1 NA KUTINGA NUSU FAI...
      • UFARANSA YAICHAPA MOROCCO 2-0 NA KUTINGA NUSU FAIN...
      • USWISI YAITOA COLOMBIA KWA MATUTA NA KUTINGA ROBO ...
      • MESSI AKOSA TENA PENALTI ARGENTINA YAITOA MISRI
      • UBELGIJI YAICHAPA MAREKANI 4-1 NA KUITUPA NJE KOMB...
      • HISPANIA YAICHAPA URENO 1-0 NA KUTINGA ROBO FAINAL...
      • RAIS DK SAMIA AMJULIA HALI PACOME HOSPITALI YA AGA...
      • BELLINGHAM APIGA MBILI ENGLAND YAICHAPA MEXICO 3-2
      • HAALAND APIGA ZOTE MBILI NORWAY YAITOA BRAZIL
      • MBAPPE AFUNGA UFARANSA YAITOA PARAGUAY KOMBE LA DUNIA
      • MOROCCO YAWACHAPA CANADA 3-0 NA KUTINGA ROBO FAINA...
      • NI SIMBA SC WASHINDI WA KOMBE LA CRDB, AZAM YALALA...
      • COLOMBIA YAICHAPA GHANA 1-0 NA KUSONGA MBELE KOMBE...
      • ARGENTINA YAING’OA CAPE VERDE KWA MBINDE, YAILAZA ...
      • MISRI YAITOA KWA MATUTA AUSTRALIA NA KUTINGA 16 BO...
      • USWISI YAICHAPA ALGERIA 2-0 NA KUITUPA NJE KOMBE L...
      • URENO YAITOA URENO NA KUTINGA 16 BORA KOMBE LA DUNIA
      • OYARZABAL APIGA MBILI HISPANIA YAICHAPA AUSTRIA 3-...
      • WACHEZAJI WA KONGO WAISAIDIA UBELGIJI KUITOA SENEG...
      • ENGLAND YATOKA NYUMA NA KUICHAPA DRC 2-1 KOMBE LA ...
      • GHALIB NA HERSI WAENDA KUMJULIA HALI NA KUMPA POLE...
    • ►  Juni (53)
    • ►  Mei (40)
    • ►  April (34)
    • ►  Maret (34)
    • ►  Februari (42)
    • ►  Januari (67)
  • ►  2025 (318)
    • ►  Desember (70)
    • ►  November (4)
    • ►  September (1)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS — ONLINE » BETPAWA YADHAMINI LIGI YA KIKAPU DAR ES SALAAM KWA SH588.9M

BETPAWA YADHAMINI LIGI YA KIKAPU DAR ES SALAAM KWA SH588.9M

WACHEZAJI wanaoshiriki Ligi ya Mpira wa Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) wanatarajiwa kunufaika na uwekezaji wa mwaka mmoja wenye thamani ya Sh588.9 milioni katika msimu wa 2026.
Kwa mujibu wa mkataba uliosainiwa juzi kati ya kampuni ya michezo ya kubashiri ya betPawa kwa ajili ya kuongeza udhamini kwa msimu mmoja, wachezaji watalipwa fedha hiyo kupitia mpango wa Locker Room Bonus (LRB) unaolenga kuwazawadia timu zinazoshinda.
Kupitia makubaliano hayo mapya, kila mchezaji wa timu itakayoshinda mechi atapokea Sh88,750 papo hapo, huku bonasi hiyo inawanufaisha makocha na maofisa wengine wa benchi la ufundi la timu husika baada ya kila ushindi.

Meneja wa Kanda ya Kusini na Mashariki ya Afrika wa betPawa, Bwalya Noah akizungumza wakati wa kusaini mkataba wa msimu wa wa 2026 wa ligi ya kikapu ya mkoa wa Dar es Salaam (BDL)ambapo kampuni hiyo imedhamini kw Sh58.9m.


Jumla ya wachezaji 12 pamoja na maofisa wanne wa benchi la ufundi, wakiwamo makocha wawili wa kila timu inayoshinda watanufaika na malipo hayo, hatua ambayo imelenga kuongeza thamani ya ushindi na kuhamasisha ushindani mkubwa katika ligi msimu mzima.
Meneja wa Kanda ya Kusini na Mashariki mwa Afrika wa betPawa, Bwalya Noah, alisema kampuni hiyo inaamini maendeleo ya mchezo wa mpira wa kikapu yanaanza kwa kuwekeza kwa wachezaji.
*"betPawa tunaamini mafanikio yanayopatikana uwanjani yanapaswa kuwanufaisha wale wanaoyaleta. Ndiyo msingi uliozaa mpango wa LRB. Timu inaposhinda, wachezaji na benchi la ufundi waliofanikisha ushindi huo wanapaswa kupata zawadi yao mara moja," alisema Noah.
Mratibu wa Masoko wa betPawa Afrika Mashariki, Nassoro Mungaya akiuzngumza katika hafla hiyo ya kusaini makataba wa msimu wa 2026 wa BDL.

Rais wa chama cha mpira wa kikapu wa Dar es Salaam (BD) Shendu Hamis akiungumza wakati wa kusaini mkataba wa msimu wa 2026 wa ligi ya BDL na kampuni ya betPawa.

Alisema mpango huo unatambua juhudi za wachezaji, unazawadia ubora na kuhakikisha mafanikio ya uwanjani yanageuka kuwa manufaa ya moja kwa moja kwa wahusika.
Noah alisema LRB imekua na kuwa moja ya programu kubwa za maendeleo ya michezo barani Afrika, ikinufaisha maelfu ya wanamichezo katika nchi mbalimbali zikiwamo Ghana, Uganda, Nigeria na Cameroon, huku mamia ya wachezaji wa mpira wa kikapu nchini Tanzania tayari wakinufaika na bonasi hizo.
Kwa upande wake, mratibu wa Masoko wa betPawa Afrika Mashariki, Nassoro Mungaya, alisema kampuni hiyo inatarajia ushirikiano huo kuendelea kuleta matokeo chanya katika maendeleo ya mchezo wa mpira wa kikapu nchini.
"Tunatarajia kuona matokeo mazuri ndani na nje ya uwanja. Tunataka kushuhudia mechi zenye ushindani mkubwa zaidi, klabu zenye uendeshaji bora na wachezaji wanaopata motisha ya kufanya vizuri katika kila mchezo,"* alisema Mungaya.
Alisema betPawa itaendelea kushirikiana kwa karibu na Basketball Dar es Salaam League pamoja na Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) kuimarisha mifumo ya uendeshaji wa ligi.
"Mbali na kulipa bonasi, tunawekeza katika kuboresha usimamizi wa ligi kupitia usajili wa wachezaji, uthibitishaji wa taarifa na uwasilishaji sahihi wa matokeo ya mechi. Mifumo imara ndiyo msingi wa maendeleo endelevu ya mchezo," alisema.
Mungaya alisema dira ya muda mrefu ya betPawa ni kusaidia kuifikisha Tanzania katika viwango vya juu zaidi vya mpira wa kikapu kwa kuendelea kuthamini ubora na kuwapa wachezaji fursa zaidi za kunufaika na vipaji vyao.
"Tunaamini kwamba wachezaji wanapotambuliwa na kuzawadiwa kwa kiwango chao, wanapata hamasa zaidi ya kufanya vizuri, klabu zinaimarika na mchezo mzima unanufaika. Huo ndiyo mwelekeo tunaotaka kuendelea kuuona nchini Tanzania," alisema.
Meneja wa Kanda ya Kusini na Mashariki ya Afrika wa betPawa, Bwalya Noah (katikati) akisaini mkataba wa kudhamini wa msimu wa 2026 wa ligi ya kikapu ya mkoa wa Dar es Salaam (BDL)ambapo kampuni hiyo imedhamini kwa Sh58.9m. Kulia ni Rais wa chama cha mpira wa kikapu wa Dar es Salaam (BD) Shendu Hamis na kushoto ni Mratibu wa Masoko wa betPawa Afrika Mashariki, Nassoro Mungaya.

Meneja wa Kanda ya Kusini na Mashariki ya Afrika wa betPawa, Bwalya Noah (wa pili kushoto) akibadilishana mkataba wa kudhamini ligi ya kikapu ya mkoa wa Dar es Salaam (BDL) wa msimu wa 2026 na rais wa chama cha mpira wa kikapu wa Dar es Salaam Shendu Hamis(wa pili kulia). Wa kwanza kushoto ni Msimamizi wa shughuli za ofisi wa betPawa, Erick Taisamo ambapo wa pili kushoto ni mratibu wa Masoko wa betPawa Afrika Mashariki, Nassoro Mungaya na kulia ni Katibu Mkuu wa BDL, Daniel Kapongo.

Meneja wa Kanda ya Kusini na Mashariki ya Afrika wa betPawa, Bwalya Noah (katikati), rais wa chama cha mpira wa kikapu wa Dar es Salaam Shendu Hamis(wa pili kulia), msimamizi wa shughuli za ofisi wa betPawa, Erick Taisamo (wa kwanza kushoto), mratibu wa Masoko wa betPawa Afrika Mashariki, Nassoro Mungaya (wa pili kushoto) na Katibu Mkuu wa BDL, Daniel Kapongo 9wa kwanza kulia) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kusaini mkataba wa msimu wa 2026 wenye thamani ya sh588.9m.

Wakati huo huo, Rais w Chama cha mpira wa kikapu cha mkoa wa Dar es Salaam League (BDL), Shendu Hamis, alisema wanafurahia kuendelea na ushirikiano huo kwa kuwa umekuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya ligi na ustawi wa wachezaji.
"Tunafurahi sana kuhuisha mkataba wetu na betPawa kwa sababu udhamini huu umeendelea kuleta thamani kubwa kwa ligi yetu. Umekuwa ukiwapa motisha wachezaji kupambana kwa nguvu katika kila mechi na umeongeza ushindani kwa timu zote msimu mzima," alisema Hamis.
Alisema mpango wa Locker Room Bonus umebadili mtazamo wa wachezaji na klabu, kwani kila mchezo sasa una umuhimu mkubwa kutokana na timu kujua ushindi unaambatana na zawadi ya kifedha.
"Udhamini huu pia umechangia kuongeza weledi katika uendeshaji wa klabu na kuinua kiwango cha ushindani wa ligi. Tunaamini ushirikiano huu utaendelea kuinua mpira wa kikapu Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla," aliongeza.


from BIN ZUBEIRY SPORTS — ONLINE https://ift.tt/VRJKbGo best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang BETPAWA YADHAMINI LIGI YA KIKAPU DAR ES SALAAM KWA SH588.9M. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2026/07/betpawa-yadhamini-ligi-ya-kikapu-dar-es.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 06.10
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS — ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SHIME ANAAMINI TANZANIA ITAICHAPA UGANDA KESHO KUFUZU KOMBE LA DUNIA WANAWAKE U-17
    SHIME ANAAMINI TANZANIA ITAICHAPA UGANDA KESHO KUFUZU KOMBE LA DUNIA WANAWAKE U-17
    Na Stella Theopist, DAR ES SALAAM  KOCHA Mkuu wa timu ya wanawake u-17  ya Tanzania, Bakari Shime amesema kuwa kikosi kimejipanga kufanya v...
  • MSHIRIKI MISS AFRIKA UINGEREZA AHADITHIA MAMBO YALIVYO
    MSHIRIKI MISS AFRIKA UINGEREZA AHADITHIA MAMBO YALIVYO
    MTANZANIA Alice Gyunda miongoni mwa washiriki 20 kutoka nchi mbalimbali za Afrika waliofanikiwa kuingia kwenye kinyang'anyiro cha taj...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • BARCELONA 3-1 ALAVES
    BARCELONA 3-1 ALAVES
    from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2s2Iqyx
  • EPL: Week 36 Preview
    EPL: Week 36 Preview
    We preview week 36 of the 2017/18 English Premier League season which is set to get underway on Saturday 28 April.  We’re into the final s...
  • Hollywoodbets Extends Horse Racing Sponsorship with Grooms' Initiative
    Hollywoodbets Extends Horse Racing Sponsorship with Grooms' Initiative
    Hollywoodbets have extended their original R10 million three-year sponsorship of Gold Circle by a further R1.5 million per year with the an...
  • ENGLAND YALAZIMISHWA SARE WEMBLEY
    ENGLAND YALAZIMISHWA SARE WEMBLEY
    WENYEJI, England wamelazimishwa sare ya 1-1 na Hungary katika mchezo wa Kundi I kufuzu Kombe la Dunia kwa Ulaya usiku wa kuamkia leo Uwan...
  • YANGA YAWASIMAMISHA NTIBANZOKIZA NA AMBUNDO
    YANGA YAWASIMAMISHA NTIBANZOKIZA NA AMBUNDO
    KLABU ya Yanga imewasimamisha wachezaji wake wawili, Dickson Ambundo na Mrundi Saido Ntibanzokiza kuelekea mechi ya Fainali ya Kombe la S...
  • ARSENAL YAMUONGEZEA MSHAHARA SANCHEZ ASIENDE BAYERN MUNICH
    KLABU ya Arsenal imempa ofa nyingine mshambuliaji wake, Alexis Sanchez aachane na mpango wa kwenda Bayern Munich na abaki Emirates. Ofa mp...
  • CHELSEA YAREJEA KILELENI ENGLAND
    CHELSEA YAREJEA KILELENI ENGLAND
    BAO pekee la beki wa kimataifa wa England, Ben Chilwell dakika ya 45 limeipa Chelsea ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Brentford Uwanja wa...
Copyright Viral Sports: BETPAWA YADHAMINI LIGI YA KIKAPU DAR ES SALAAM KWA SH588.9M