NIGERIA imefanikiwa kutwaa Medali ya Shaba katika michezo ya Olimpiki 2016, baada ya jana kuifunga Honduras mabao 3-2 katika mchezo wa kusaka mshindi wa tatu Uwanja wa Belo Horizonte, Minas Gerais.
Shujaa wa Dream Team alikuwa ni mshambuliaji AS Roma ya Italia, Sadiq Umar aliyefunga mabao mawili dakika za 34 na 56, huku lingine likifungwa na nduguye, Aminu Umar dakika ya 49.
Mabao ya Honduras yalifungwa na Anthony Lozano dakika ya 71 na Marcelo Pereira dakika ya 86.
Hiyo ilikuwa Medali ya tatu kwa Nigeria kwenye Olimpiki soka kwa ujumla, baada ya mwaka 1996 kushinda Dhahabu mjini Atlanta kwa kuifunga 3-2 Argentina.
Timu hiyo ikafungwa na Argentina katika fainali Olimpiki ya mwaka 2008 mjini Beijing.
Wachezaji wa Nigeria wakifurahia na Medali zao PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2b8Z1dI
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang NIGERIA WABEBA MEDALI YA SHABA OLIMPIKI SOKA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2016/08/nigeria-wabeba-medali-ya-shaba-olimpiki.html. Terimakasih atas perhatiannya.