ZAMALEK ya Misri imebisha hodi Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco jana Uwanja wa Borg El Arab katika Nusu Fainali ya kwanza.
Mahmoud Abdel-Razek 'Shikabala' alifunga vbao zuri mbele tya mashabiki 85,000 mjini Alexandria baada ya kiungo huyo kukimbia kwa umbali wa mita 56 kabla ya kufumua shuti kali kutoka nje ya boksilililotinga nyavuni.
Mabao mengine ya Zamalek yalifungwa na Ymen Hefny, Bassem Morsy na Mostafa Fathy aliyetokea benchi kwa penalty .
Huo ni ushindi wa rekodi katika Nusu Fainali kwa Zamalek, ukiupiku ushindi wa 3-0 nyumbani pia dhidi ya JET (sasa JS Kabylie) ya Algeria mwaka 1984.
ZESCO United ya Zambia inawakaribisha Mamelodi Sundowns Uwanja wa Levy Mwanawasa mjini Ndola katika Nusu Fainali nyingine.
Wakati huo huo: Nusu Fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika inachezwa leo, wenyeji Etoile du Sahel wakiikaribisha TP Mazembe ya DRC Uwanja wa Olimpiki mjini Sousse, Tunisia, wakati kesho Mouloudia Bejaia wataikaribisha FUS Rabat ya Morocco Uwanja wa Unite Maghrebine mjini Bejaia, Algeria.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2cE7B58
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms