Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
AZAM FC inataka kuboresha zaidi kikosi chake kwa kumsajili winga wa Mwadui FC ya Shinyanga, Hassan Kabunda.
Na tayari Mwadui wameshitukia mpango huo na leo wametoa onyo kwa timu ya Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa na familia yake.
Kocha wa Mwadui FC, Khalid Adam ameiambia BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE leo kwamba Azam FC wanapaswa kufuata taratibu kama wanamtaka Kabuda.
Hassan Kabunda (kulia) yupo kwenye rada za Azam FC, timu inayomilikiwa na bilionea Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa na familia yake
“Kabunda bado ana mkataba na Mwadui. Hivyo kama Azam wanamtaka, wake kuzungumza na sisi, huo ndiyo utaratibu,”amesema.
Mtoto huyo wa beki wa zamani wa kimataifa wa Yanga, Salum Kabunda aliyevuma kwa majina ya utani ya Ninja na Msudan (sasa marehemu) ni kati ya wachezaji wanaofanya vizuri katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara tangu msimu uliopita.
Na mchezaji huyo wa zamani wa Ashanti United ya Ilala, Dar es Salaam mapema msimu huu alikaribia kusajiliwa na Simba SC kama si kushindwana dau.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2gpV2hs
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang AZAM FC WATAKA KUMSAJILI KABUNDA WA MWADUI FC. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2016/11/azam-fc-wataka-kumsajili-kabunda-wa.html. Terimakasih atas perhatiannya.