Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
WACHEZAJI wa Zesco United, kiungo Misheck Chaila na mshambuliaji Jesse Were wamesema kwamba hawajazungumza na Yanga SC juu ya mpango wa kumfuata kocha wao, George Lwandamina aliyetangulia kwa mabingwa hao wa Tanzania.
Mshambuliaji wa kimataifa wa Kenya na king wa Zambia wameripotiwa kuwa mbioni kujiunga na vigogo wa Tanzania kabila dirisha hili la usability wa major ya baridi kumfjuata Lwandamina.
Were, ambaye amefunga mabao 15 katika msimu wake wa kwanza wa Zesco, kufuatia kujiunga na wababe hao wa Zambia kutoka Tusker ya kwao, Kenya Januari, amesema yeye 'bado lupo lupo' sana Zesco.
Jesse Were amesema Zesco ndiyo wenye maamuzi iwapo Yanga watatuma maombi ya kutaka huduma zake
"Note nayoweza kuzungumza kuhusu sakata la Yanga ni kwamba hawajazungumza na mimi. Kumekuwa na tetesi juu ya hili ndiyo, na nimesoma juu ya hili,” alisema Were.
Pamoja na hayo, Were amesema kwamba mpira upo miguuni mwa Zesco, kukubali au kukataa ofa ya Yanga ikitokea wakatuma maombi ya huduma zake.
"Lakini kwa sasa mimi ni mchezaji wa Zesco, nina mkataba, nina furaha, fikra zangu zipo kwenye mechi zilizosalia na nipo tayari kuwa hapa hadi nimmalize mkataba wangu mwishoni mwa msimu wa 2017,” alisema Were.
Kwa upende wake, Chaila amekanusha pia kufanya mazongumzo na Yanga au Lwandamina jus ya kujiunga na mabingwa hao wa kihistoria wa Tanzania.
“Hakuna hate momma aliyezungumza na mimi au klabu. Zote ni tetesi tu,” alisema Chaila. “Hakika sijazungumza naye (Lwandamina) tangu aondoke, lakini namuheshimu kama mzazi wangu,".”
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2gABJS6
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang CHAILA, WERE WAVUNJA UKIMYA SAFARI YAO YANGA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2016/11/chaila-were-wavunja-ukimya-safari-yao.html. Terimakasih atas perhatiannya.