Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
MAMAKAMU Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Isaac Shekiondo ‘Clinton’ (pichani kushoto) aliyefariki dunia usiku wa kuamkia jana, Dar es Salaam atazikwa Jumatano Korogwe, Tanga.
Taarifa ya familia ilisema jana kwamba, msiba wa marehemu aliyefariki dunia baada ya kuugua kwa muda kwa sasa upo nyumbani kwake, Ilala Mchikichini Kota.
Taarifa hiyo imesema shughuli za kuuaga mwili wa marehemu zitafanyika nyumbani kwake, Mchikichini kabla ya kusafirishwa kesho na mazishi yatafanyika Jumatano Korogwe kwa Shemsi.
Shekiondo alikuwa Makamu Mwenyekiti katika Kamati ya Muda ya Yanga chini ya Mwenyekiti, Tarimba Abbas ‘Thabo Mbeki’ na enzi zake anakumbukwa kutokana na ukarimu wake na uwajibikaji mzuri.
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi alisema amezipokea kwa masikitiko makubwa taarifa za msiba wa Shekiondo.
“Kwa kweli nimezipokea kwa masikitiko makubwa taarifa za msiba wa Shekiondo. Namfahamu vizuri yule bwana, tumefanya naye kazi Yanga. Na tulikuwa naye kwenye mpira siku zote,”alisema Malinzi.
Rais wa zamani wa Yanga, Francis Kifukwe naye pia alisema amezipokea kwa masikitiko makubwa taarifa za msiba wa Shekiondo.
“Kwa kweli ni msiba wetu sote wana Yanga. Shekiondo tulikuwa naye Yanga tena katika kipindi kigumu sana, lakini tulishirikiana vizuri kusukuma mbele gurudumu la timu. Mungu amuweke pema peponi,”alisema Kifukwe. Bwana ametoa, bwana ametwaa. Mungu ampumzishe kwa amani marehemu Shekiondo.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2g8oEem
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang CLINTON WA YANGA KUZIKWA TANGA JUMATANO, ATASAFIRISHWA KESHO. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2016/11/clinton-wa-yanga-kuzikwa-tanga-jumatano.html. Terimakasih atas perhatiannya.