Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
KLABU ya Simba imewatema wachezaji kadhaa wakiwemo beki Emmanuel Semwanza, kiungo Awadh Juma na mshambuliaji Ame Ali.
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Simba, Hajji Sunday Manara amesema leo kwamba marekebisho hayo madogo yanatokana na mapendekezo ya benchi la ufundi chini ya kocha Mkuu, Mcameroon Joseph Marius Omog.
Manara amesema kwamba, Ame Ali aliyekuwa anacheza kwa mkopo kutoka Azam FC, amerejeshwa kwenye klabu yake hiyo, wakati Awadh Juma na Malika Ndeule wamepelekwa kwa mkopo Mwadui FC ya Shinyanga na Semwanza amekwenda Maji Maji FC ya Songea kwa mkopo pia.
Ame Ali amerejeshwa kwenye klabu yake hiyo Azam FC
Aidha, Manara amethibitisha Simba kuachana rasmi na kipa Muivory Coast Vincent Angban na kiungo Mkongo, Mussa Ndusha.
Wakati hao wakiachwa, Simba SC ikmewasajili wachezaji wawili raia wa Ghana, kipa Daniel Agyei na kiungo James Kotei na washambuliaji wazawa Pastory Athanas kutoka Stand United na Juma Luizio anayekuja kwa mkopo kutoka Zesco ya Zambia.
Mbali na kuachwa kwa wakongwe hao, klabu pia imewapandisha wachezaji wawili wa kikosi cha vijana, beki Vincent Costa na Nahodha na mshambuliaji Moses Kitandu
"Tunaamini maboresho haya yataongeza chachu ya ushindani ktk kikosi chetu na Hatimaye kutupa mataji msimu huu. Niwaarifu pia timu yetu imeondoka asubuhi hii kuelekea Mtwara kwa ajili ya mchezo wetu wa kwanza mzunguko wa pili dhidi ya Ndanda Fc, mchezo utakaopigwa Jumapili huko Mtwara,"alisema.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2hAVhCP
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SIMBA YAWATEMA AME ALI, AWADH NA SEMWANZA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2016/12/simba-yawatema-ame-ali-awadh-na-semwanza.html. Terimakasih atas perhatiannya.