MSHAMBULIAJI Zlatan Ibrahimovic anaamini Msweden mwenzake, Victor Lindelof ana kipaji kung'ara katika timu kubwa duniani kufuatia kukua kwa tetesi za beki huyo wa Benfica kujiunga na Manchester United Januari.
United imeingia kwenye mazungumzo na Rais wa Benfica, Luis Felipe Vieira juu ya uhamisho wa Pauni Milioni 38 Januari kwa ajili ya beki huyo wsa kati, ambaye amecheza mechi 11 za kimataifa.
Na Ibrahimovic, ambaye alifikisha mabao 16 msimu huu baada ya kufunga mabao mawili mswishoni mwa wiki katika ushindi dhidi ya West Brom, amempigia debe mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22.
"Yeye (Lindelof) anakuwa. Ana majukumu mengi ya timu ya taifa sasa,"alisema Ibrahimovic. "Ni mzuri kiasi cha kutosha kwa United? Nafikiri yuko tayari kwa klabu kubwa nje ya huko. Ni juu yake anataka nini na mazingira yanasemaje. Chochote atakachochagua, itakuwa vizuri kwake.
Manchester United wapo kwenye mazungumzo na Benfica juu ya uhamisho wa Pauni Milioni 38 wa beki Victor Lindelof PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2hU1UmW
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang ZLATAN AMSAFISHIA NJIA NDUGU YAKE ATUE MAN UNITED. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2016/12/zlatan-amsafishia-njia-ndugu-yake-atue.html. Terimakasih atas perhatiannya.