Shkodran Mustafi akiruka kichwa katikati ya wachezaji wa Burnley kuifungia Arsenal bao la kwanza dakika ya 59 katika ushindi wa 2-1 leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates. Bao la pili la Arsenal lilifungwa na Alexis Sanchez kwa penalti dakika ya nane ya muda wa nyongeza baada ya dakika 90 za kawaida kufuatia ya Laurent Koscielny kuchezewa rafu, wakati la Burnley lilifungwa na Andre Gray dakika ya tatu ya muda wa nyongeza baada ya dakika 90. Granit Xhaka alitolewa kwa kadi nyekundu kwa mara ya pili msimu huu na mara ya tisa ndani ya miaka mitatu baada ya kumuingia kwa miguu yote miwili kiungo wa Burnley, Steven Defour dakika ya 65 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2jd6yMv
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang ARSENAL PUNGUFU YAITWANGA BURNLEY 2-1 EMIRATES. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/01/arsenal-pungufu-yaitwanga-burnley-2-1.html. Terimakasih atas perhatiannya.