WACHEZAJI wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wamegoma kufanya mazoezi kuelekea mchezo wao wa ufunguzi wa Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya Morocco kwa sababu ya posho.
Kiungo wa Norwich City, Yousuf Mulumbu, Nahodha wa DRC (pichani juu) amesema wachezaji waligomea mazoezi jana kwa sababu ya mzozo wa posho.
"Imekuwa hivi hivi kwa miaka na miaka. Tunajiandaa vizuri kwa mechi zetu na mwishowe wakati wote kuna matatizo ya posho," alisema.
"Nikisema hivyo, Januari 16 tutapeperusha bendera yetu, katika mchezo wa ufunguzi dhidi ya Morocco,".
Timu nyingine iliyoingia kwenye mzozo wa posho ni Zimbabwe, ambao walitaka hadi kugoma kuja Gabon ambako wanacheza mechi ya ufunguzi leo.
Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zinatarajiwa kuanza leo kwa mchezo kati ya wenyeji Gabon na Guinea-Bissau Uwanja wa Stade d'Angondje Saa 12:00 jioni kabla ya Burkina Faso kumenyana na Cameroon Saa 3:00 usiku.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2jb1bMm
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang DRC WAGOMA KUFANYA MAZOEZI, AFCON YAANZA LEO GABON. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/01/drc-wagoma-kufanya-mazoezi-afcon-yaanza.html. Terimakasih atas perhatiannya.