Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
TIMU ya Mbeya City itaondoka kesho asubuhi mjini Mbeya kwenda Sumbawanga mkoani Rukwa kwa ziara ya michezo ya kirafiki.
Meneja wa Mbeya City, Geoffrey Katepa alisema jana mazungumzo na Bin Zubeiry Sports - Online kwamba, kikosi cha timu hiyo kitakuwa huko kwa mechi tatu za kujipima nguvu hadi wiki ijayo.
Katepa, kiungo wa zamani wa Yanga alisema kwamba ziara inakuja baada ya mapumziko ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar.
Mbeya City itaondoka kesho asubuhi mjini Mbeya kwenda Sumbawanga mkoani Rukwa kwa ziara ya michezo ya kirafiki
“Imekuwa ni taarifa njema kupatikana kwa michezo hii ya kirafiki na tutaitumia kujiweka sawa kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wetu wa Januari 17 dhidi ya Azam FC kule Uwanja wa Azam Complex, Chamazi mjini Dar es Salaam,” alisema Katepa.
Katepa aliyewahi pia kuchezea Tukuyu Stars ya Mbeya, alisema kwamba Mbeya City itacheza mechi tatu kuanzia Ijumaa ya leo Ijumaa, Jumamosi na Jumapili kabla ya kurejea Mbeya Jumatatu kuendelea na maandalizi ya mechi dhidi ya Azam.
Alisema mechi zote zitachezwa Uwanja wa Mandela na kwa mujibu wa ratiba wataanza na Magogo FC kabla ya kucheza na timu nyingine watakazopangiwa na wenyeji wao. Alisema watasafiri na kikosi cha wachezaji 25 na viongozi watano.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2iTYY7x
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MBEYA CITY WAENDA SUMBAWANGA KUIPASHIA AZAM. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/01/mbeya-city-waenda-sumbawanga-kuipashia.html. Terimakasih atas perhatiannya.