MSHAMBULIAJI Mgiriki Nikolaos Karelis anayecheza nafasi moja na Mtanzania Mbwana Ally Samatta katika klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji ameumia goti na atakuwa nje kwa miezi nane.
Karelis aliumia mwishoni mwa mwaka katika mchezo dhidi ya KAA Gent Desemba 27, Uwanja wa Laminus Arena Genk ikishinda 2-0, tena yeye akifunga bao la pili dakika ya 26.
Nikolaos Karelis anayecheza nafasi moja na Mbwana Samatta atakuwa nje kwa miezi nane
Na baada ya kufanyiwa vipimo siku iliyofuata, ikagundulika Karelis ameumia vibaya goti la mguu wake wa kushoto na atahitaji kufanyiwa upasuaji, ambao utamuweka nje ya uwanja si chini ya miezi minane.
Wakati Karelis akienda kwenye matibabu, KRC Genk sasa itamtegemea Samatta kwa kipindi chote hicho.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2iF5i5d
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms