Na Mwandishi Wetu, ZANZIBAR
YANGA itawakosa mshambuliaji wake hatari Mzimbabwe Donald Dombo Ngoma katika mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi usiku huu Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Pamoja na Ngoma, Yanga itawakosa viungo Wazambia Justin Zulu na Obrey ambao kwa pamoja na Ngoma ni majeruhi.
Kwa sababu hiyo, kocha Mzambia George Lwandamina ameanza na mshambuliaji mmoja tu halisi, Mrundi Amissi Tambwe ambaye naye analazimishwa kucheza akiwa na maumivu.
Kikosi cha Yanga SC leo kipo hivi; Deogratius Munishi ‘Dida’, Juma Abdul, Mwinyi Hajji, Andrew Vincent ‘Dante’, Kelvin Yondan, Saidi Juma ‘Makapu’, Simoni Msuva, Thabani Kamusoko, Amissi Tambwe, Haruna Niyonzima na Deusi Kaseke.
Simba SC; Daniel Agyei, Janvier Bokungu, MOhammed Hussein 'Tshabalala', Abdi Banda, Method Mwanjali, Jonas Mkude, Shiza Kichuya, James Kotei, Juma Luizio, Muzamil Yassin na Mohamed Ibrahim.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2jeH2Ex
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms