FIFA imetaja washindani watatu wa tuzo ya Mwanasoka Bora wa Kiume wa Mwaka ambao ni Muargentina Lionel Messi, Mreno Cristiano Ronaldo na Mbrazil Neymar Junior ambaye ni ingizo jipya akichukua nafasi ya Mfaransa Antoine Griezmann.
Majina hayo yametajwa leo mjini London, na Roberto Di Matteo, Jay Jay Okocha, na gwiji wa England, Peter Shilton wamekuwa miongoni mwa wachezaji wa zamani waliohudhuria hafla iliyofanyika ukumbi wa The Bloomsbury Ballroom, London.
Wageni wengine waliohudhuria ni pamoja na beki wa timu ya wanawake ya Arsenal, Alex Scott na mshindi wa mwaka 2004, Andre Shevchenko, wakati sherehe zenyewe za tuzo zitafanyika mwezi ujao.
Mbrazil Neymar Junior ameingia badala ya Mfaransa Antoine Griezmann aliyeingia tatu mwaka jana PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Tuzo nyingine zinazotarajiwa kutolewa ni Mwanasoka Bora wa Kike, Kocha Bora wa Kiume, Kocha Bora wa Kike, Kipa Bora, Bao Bora la Mwaka maarufu kama tuzo ya Puskas sambamba na tuzo ya shabiki bora.
Mshindi wa mwaka jana wa tuzo Wanaume, Ronaldo anapewa nafasi kubwa ya kushinda tena tuzo hiyo baada ya kuisaidia Real Madrid kutwaa mataji ya La Liga na Ligi ya Ligi ya Mabingwa msimu uliopita, hivyo anafukuzia tzo ya pili mfululizo mwaka huu, wakati mpinzani wake wa Barcelona, Lionel Messi anawania tuzo ya kwazna ya Mchezaji Bora wa FIFA.
Gianluigi Buffon, Keylor Navas na majeruhi Manuel Neuer wameingia katika tatu upande wake wa makipa huku wengi wakitaka na kipa Manchester United, David De Gea ajumuishwe.
Manchester City ina mwakilishi mmoja tu, ambaye ni mshindi wa Kombe la Dunia na Medali mbili za Dhahabu za Olimpiki akiwa na Marekani, Carli Lloyd kuingia kwenye kinyang'anyiro cha tuzo ya Wanawake.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2xWJ1bd
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms