TIMU ya Al Ahly jana imekuwa klabu ya kwanza kihistoria kufunga mabao sita katika Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia ushindi wa 6-2 dhidi ya Etoile du Sahel ya Tunisia 6-2 mjini Alexandria, Misri.
Mabingwa wa rekodi mara nane wanakwenda fainali kwa ushindi wa jumla wa 7-4 baada ya kufungwa 2-1 kwenye mchezo wa kwanza wiki iliyopita, na sasa watamenyana na Wydad Casablanca ya Morocco iwikiendi ijayo, mchezo wa kwanza ukichezwa Misri.
Iliwachukua dakika mbili Ahly kupata bao la kwanza lililofungwa na Mtunisia, Ali Maaloul aliyemtungua kipa mzoefu Ayman Mathlouthi.
Mmorocco Walid Azaro akaifungia mabao mawili Ahly na kuifanya timu hiyo iongoze kwa 3-0 hadi mapumziko, kabla ya kukamilisha hat-trick yake dakika tatu baada ya kuanza kipindi cha pili.
Rami Bedoui akawarudishia bao moja mabingwa hao mara moja wa Afrika, kabla ya Ahly kupata mabao mawili zaidi kutoka kwa Hamdi Nagguez aliyejifunga na Rami Rabia na Iheb Msakni akawafungia bao la pili Etoile dakika moja kabla ya filimbi ya mwisho.
Achraf Bencharki alifunga mabao mawili Wydad ikiifunga USM Alger ya Algeria mabao 3-1 mjini Casablanca Jumamosi baada ya sare ya bila kufungana mwezi uliopita.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2gZEU3Z
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms