Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya wanawake ya Sweden, Mariane Sundhage leo Oktoba 23, 2017 amekutana na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk. Kebwe Stephen Kebwe katika Ofisi ya Mkoa na kufanya mazungumzo yenye lengo la kuboresha soka la wanawake nchini.
Kocha Mariane Sundhage amefanya mazungumzo yanayofanana na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia ambaye baadaye aliongozana naye kwenda kuangalia Kliniki kwenye Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Bigwa.
Kocha Mariane Sundhage amefanya mazungumzo na Rais wa TFF, Wallace Karia pia
Katika Kliniki hiyo, mbali ya Rais Karia wengine waliokuwako kushuhudia kliniki hiyo ni Mwenyekiti wa Chama cha Soka la Wanawake (TWFA), Amina Karuma na Mjumbe wa Kamati ya Maendeleo ya soka la Wanawake, Mia Mjengwa.
Kocha Mariane Sundhage yuko nchini Tanzania na kesho Jumanne Oktoba 24, 2017 anatarajiwa kuwa na kliniki maalumu kwenye Uwanja wa Karume, Ilala jijini Dar es Salaam.
Kocha huyo mahiri ambaye mbali ya Sweden ambako anafundisha sasa, tayari alikwisha kuzinoa timu za taifa za Marekani na China.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Ufundi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Salum Madadi, kliniki hiyo itaanza saa 3.30 asubuhi mpaka saa 6.00 mchana baada ya hapo kocha huyo atakuwa na nafasi ya kuzungumza na wanahabari.
“Karibu sana wanahabari kesho kushuhudia ufundi wa Kocha Pia Sundhage akizinoa baadhi ya timu ambazo TFF imezialika wakiwamo wachezaji wa timu ya taifa,” amesema Madadi alipokuwa anatambulisha ziara ya kocha huyo.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2yJ2ATJ
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms