KIUNGO wa Manchester United, Paul Pogba amesema kwamba hapendi mchezo wa kujihami — bali anapenda mchezo wa kumiliki zaidi mpira.
Manchester United wanakamilisha mipango yao kuelekea mechi kali ya Ligi Kuu ya England dhidi ya Arsenal, lakini Pogba amesema kwamba mchezo wa kujihami ni tofauti na aliofundishwa.
"Aina ya mchezo ninaoupenda ni wa kumiliki mpira mwanzo mwisho," amesema mwanasoka huyo wa kimataifa wa Ufaransa. "Mchezo mbaya, nafikiri ni ule ule kwa kila mmoja – kucheza bila mpira,".
"Kujilinda bila kuwa na mpira kwa sababu unatakiwa kuzunguka ukiwa huna mpira, wakati wote nimejifunza kucheza na rafiki zangu,"amesema.
Nyota wa Manchester United, Paul Pogba amesema kwamba hapendi mchezo wa kujihami PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Pogba anaamini Arsenal watamkosa Mfaransa mwenzake, Alexandre Lacazette katika mechi ya Jumamosi.
Kocha wa Gunners, Arsene Wenger amethibitisha wapinzani wao hao wa London Kaskazini watamkosa mshambuliaji wao huyo nyota kesho Uwanja wa Emirates.
Na Pogba amesema hizo zinaweza kuwa habari njema kwa kikosi cha Jose Mourinho wakifukuzuia ushinid wa nne mfululizo kwenye Ligi Kuu ya England wikiendi hii.
United watakwenda kwenye mchezo huo wakitoka kushinda 4-2 dhidi ya Watford katikati ya wiki, shukrani kwake Ashley Young aliyefunga mabao mawili.
United wamefanya mazoezi yao ya mwisho leo viwanja vya Carrington kabla ya safari ya London kwa ajili ya mchezo huo.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2jCeV37
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms