Wachezaji wa Manchester City, kutoka kushoto Ederson, Yaya Toure, Bernardo Silva na Fernandinho wakitembea kinyonge baada ya kushindwa kuendeleza rekodi yao ya kutopoteza mechi tangu Aprili mwaka huu kufuatia kuchapwa mabao 2-1 jana na wenyeji, Shakhtar Donetsk kwenye mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Oblasny Sport Komplex Metalist mjini Kharkiv. Mabao ya Shakhtar Donetsk yalifungwa na Bernard dakika ya 26 na Ismaily dakika ya 32, wakati la Man City lilifungwa na Sergio Aguero kwa penalti dakika ya 90 na ushei. Man City inafuzu kama mshindi wa Kundi F kwa pointi zake 15 ikiungana na washindi wao wa pili, Shakhtar Donetsk waliomaliza na pointi 12 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2jlcmU4
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MAN CITY WAPOTEZA MECHI YA KWANZA TANGU MWEZI APRILI. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/12/man-city-wapoteza-mechi-ya-kwanza-tangu.html. Terimakasih atas perhatiannya.