Nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akinyoosha mkono juu na kuinua kidole gumba kuwapa ishara mashabiki wa timu yake baada ya kufunga bao la pili dakika ya 12 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Borussia Dortmund kwenye mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid, Hispania. Mabao mengine ya Real Madrid yalifungwa na Borja Mayoral dakika ya nane na Lucas Vázquez dakika ya 81 wakati ya Borussia Dortmund yote yalifungwa na Pierre-Emerick Aubameyang dakika za 43 na 48, Real inakwenda 16 Bora kama mshindi wa pili wa kundi baada ya kumaliza na pointi 13, nyuma ya Tottenham Hotspur iliyomaliza na pointi 16, wakati Borussia Dortmund inaangukia Europa League baada ya kumaliza nafasi ya tatu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2k1SEw4
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang RONALDO AFUNGA REAL MADRID YAIPIGA 3-2 BORUSSIA DORTMUND. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/12/ronaldo-afunga-real-madrid-yaipiga-3-2.html. Terimakasih atas perhatiannya.