MABINGWA wa Afrika, Wydad Casablanca wameaga michuano ya Klabu Bingwa ya Dunia ya FIFA baada ya kufungwa mabao 3-2 na Urawa Red Diamonds ya Japan katika mchezo wa kuwania nafasi ya tano usiku wa jana Uwanja wa Hazza Bin Zayed mjini Al-'Ayn.
Mabao ya Wydad ya Morocco yalifungwa na Ismail El Haddad dakika ya 21 na Reda Hajhouj kwa penalti dakika ya 90 na ushei, wakati ya Urawa Red yalifungwa na MaurĂcio dakika ya 18 na 60 na Yosuke Kashiwagi dakika ya 26.
Wydad ya Morocco iliianza michuano hiyo kwa kuchapwa 1-0 na Pachuca ya Mexico, bao pekee la Victor Alfonso Guzman dakika ya 111 katika mchezo wa Robo Fainali Uwanja wa Zayed Sports City mjini Abu Dhabi.
Nusu Fainali ya kwanza ya Klabu Bingwa ya Dunia ya FIFA jana, Gremio ya Brazil iliichapa 1-0 Pachuca ya Mexico, bao pekee la Everton dakika ya 95 katika mchezo uliodumu kwa dakika 120 Uwanja wa Hazza bin Zayed mjini Al Ain.
Mabingwa watetezi, Real Madrid wanaanza kutetea taji laoe kwa kumenyana na Al Jazira usiku wa leo mjini Abu Dhabi, Falme za Kiarabu.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2AOSAHP
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang WYDAD CASABLANCA YATUPWA NJE KOMBE LA DUNIA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/12/wydad-casablanca-yatupwa-nje-kombe-la.html. Terimakasih atas perhatiannya.