KLABU ya Arsenal imepiga hatua katika kuwania saini ya mshambuliaji Pierre-Emerick Aubameyang baada ya Mtendaji wake Mkuu, Ivan Gazidis na Mkuu wa Usajili, Sven Mislintat kuonekana wakiwasili nchini Ujerumani jana kwa mazungumzo ya uso kwa uso.
Gazidis na Mislintat walipigwa picha wakiwasili kwa mkutano na viongozi wa Borussia Dortmund, akiwemo Mtendaji wao Mkuu, Hans-Joachim Watzke na Meneja Mkuu, Michael Zorc.
Wawili hao wa Dortmund walitokea vizuri kwenye picha kuliko wenzao wa Arsenal – kuashiria kwamba wanafahamu kiasi gani wao ndiyo wameshikilia mpini wa siku kwenye mazungumzo hayo.
Tayari Dortmund imekataa ofa ya kwanza ya Arsenal ya Pauni Milioni 44 na inaelekea The Gunners wamedhamiria kumng'oa Aubameyang Signal Iduna Park kwa kuwasilisha ofa ya Pauni Milioni 53.
Mshambuliaji aliachwa nje ya kikosi kilichotoa sare ya 1-1 na Hertha Berlin wakati klabu ikishughulikia uhamisho wa nyota huyo wa Gabon.
Arsenal wameongeza bidii kuhakikisha wanampata mchezaji huyo kutokana na wao mshambuliaji wao tegemo, Alexis Sanchez kuwa mbioni kujiunga na Manchester United kuwa kubadilishana na kiungo Henrikh Mkhitaryan.
Mshambuliaji huyo wa Gabon ghafla amejikuta katika maisha magumu klabu hiyo ya Bundesliga baada ya kusimamishwa zaidi ya mara moja katika mzunfuko wa kwanza.
Akiwa amefunga mabao 21 kwenye mashindano yote hadi sasa msimu huu, Arsene Wenger anataka kumchukua Aubameyang ahamishie makali yake Uwanja wa Emirates zikiwa zimebaki siku 10 kaba ya days dirisha dogo la usajilo kufungwa.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2DZFARo
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms