Na Mwandishi Wetu, MBEYA
LIGI Kuu ya Vodacom Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea leo kwa mechi nne zaidi kuchezwa kwenye viwanja tofauti.
Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya, wenyeji Tanzania Prisons wanatatajiwa kuwa wenyeji wa Azam FC Uwanja wa Sokoine, waakti Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza, Mbao wataikaribisha Stand United.
Na Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro, Mtibwa Sugar wataikaribisha Njombe Mji wakati Mwadui FC wataikaribisha Ndanda FC Uwanja wa Mwadui Complex, Shinyanga.
Jumapili kutakuwa na mchezo mmoja tu, mabingwa watetezi, Yanga SC wakimenyana na Ruvu Shooting Uwanja wa Taifa wakati mzunguko wa 14 utakamilishwa Jumatatu kwa mechi mbili, Kagera Sugar wakiikaribisha Simba SC Uwanja wa Kaitaba na Maji Maji wakiwa wenyeji wa Singida United Uwanja wa Maji Maji mjini Songea.
Wakitoka kulazimishwa sare ya 1-1 na Maji Maji Uwanja wa Maji Maji mjini Songea Alhamisi, Azam FC leo wanatarajiwa kupigania ushindi ili kuendelea kuwamo kwenye za ubingwa.
Mabingwa watetezi, Yanga SC leo watafanya mazoezi ya mwisho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kabla ya kumenyana na Ruvu Shooting kesho.
Mechi iliyopita Yanga ililazimishwa sare ambayo haikutarajiwa ya 0-0 na Mwadui FC Uwanja wa Uhuru na sasa inazidiwa pointi saba na vinara, Simba SC baada ya mechi 13.
Kikosi cha Simba SC kiliwasili mjini Bukoba kwa ndege jana tayari kwa mchezo wa wake na Kagera Sugar Jumatatu Uwanja wa Kaitaba mjini hmo.
Simba imeingia Bukoba siku moja tu baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya Singida United katika mchezo mwingine wa Ligi Kuu jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, mshambuliaji wake mahiri, Mganda Emmanuel Okwi akifunga mabao mawili.
Ushindi wa juzi uliifanya Simba SC ifikishe pointi 29, baada ya kucheza mechi 13, ikiwazidi pointi saba mabingwa watetezi, Yanga SC na pointi mbili Azam FC wenye 27 katika nafasi ya pili, wakati Mtibwa Sugar sasa ni ya tatu kwa pointi zae 24 baada ya timu zote kucheza mechi 13.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2BgqcgB
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms