Na Salum Vuai, ZANZIBAR
AZAM FC imeshindwa kuendeleza wimbi la ushindi kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kufungwa 1-0 na URA ya Uganda katika mchezo wa Kundi A jioni ya leo Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Bao pekee lililoizamisha Azam FC iliyokuwa na rekodi ya kutoruhusu nyavu zake kuguswa kwa mechi saba tangu msimu uliopita, limefungwa na Nicholaus Kagaba.
Katika mchezo huo, Azam FC ilimaliza pungufu baada ya winga wake Mghana, Enock Atta-Agyei kutolewa kwa kadi nyekundu kwa mchezo usio wa kiungwana.
Mchezo uliotangulia wa Kundi B, Singida United iliendeleza wimbi la ushindi baada ya kuichapa Mlandege FC 3-0, mabao ya Danny Usengimana kwa penalti, K. Mwambungu na L.Mbia.
Matokeo hayo yanamaanisha Singida United imetingia Nusu Fainali ya michuano hiyo. Mechi ya mwisho leo inafuatia Saa 2:15 usiku hii kati ya Yanga SC na Taifa ya Jang’ombe.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2CIcQyl
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms