KOCHA Mtaliano Antonio Conte amekiri kwamba hafahamu kama atabaki Stamford Bridge msimu ujao kama bosi wa Chelsea kutokana na kugoma kuongeza mkataba.
Mtaliano huyo alishinda taji la Ligi Kuu ya England katika msimu wake wa kwanza uliopita, lakini anaamini historia ya Chelsea inamfanya asitabiri atadumu kwa muda gani kama kocha wa The Blues.
Chelsea tayari imeanza kutafuta kocha mpya huku uwezekano wa Conte kuondoka mwishoni mwa msimu ukizidi kuongezeka.
Antonio Conte amekiri kwamba hafahamu kama atabaki Stamford Bridge msimu ujao kama bosi wa Chelsea PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Na Conte alikuwa wazi alipoulizwa kama ataendelea kuwa katika viunga vya Stamford Bridge msimu wa 2018-19, akisema kwamba historia ya Chelsea kufukuza makocha haimpi nafasi ya kujua hatima yake.
Max Allegri wa Juventus na Luis Enrique, aliyeachia ngazi Barcelona mwaka jana, wanapewa nafasi kubwa ya kuchunua nafasi yake.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2D5RrjI
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang CONTE ANAJUA AMEKALIA KUTI KAVU CHELSEA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2018/01/conte-anajua-amekalia-kuti-kavu-chelsea.html. Terimakasih atas perhatiannya.