Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
KIPA wa zamani wa kimataifa wa Tanzania, Ismail Suma aliyedakia klabu za Simba na Yanga za Dar es Salaam amefariki dunia leo mjini Bumbura, Burundi.
Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu, Juma Athumani Salum ni kwamba Suma amefariki leo asubuhi mjini Bujumbura baada ya kusumbuliwa na maradhi ya ini na figo kwa muda mrefu.
Suma alikuwa anacheza nchini Burundi alikokwenda akitokea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ambako alicheza pia akitokea nyumbani Tanzania.
 |
| Ismail Suma (kushoto) akiwa na wachezaji wenzake wa Yanga mwaka 2000, Ally Mayay, Iddi Moshi na Stephen Nyenge |
Mpango wa awali ulikuwa ni kuurejesha mwili wa marehemu kwa mazishi kwao mkoani Tabora, lakini imeshindikana kutokana na wafiwa kutokuwa na fedha za kutosha gharama za kusafirisha maiti.
Na kwa sababu hiyo wamepanga kumzika ndugu yao huyo huko huko mjini Bujumbura jioni ya leo.
Suma aliibukia Kariakoo United ya Lindi mwaka 1998 na akadaka hadi mwaka 2000 alipohamia Yanga SC kabla ya baadaye kuchezea timu nyingine kadhaa, ikiwemo Simba SC na African Lyon, zote za Dar es Salaam.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2n4Zlj5
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang ISMAIL SUMA ALIYEDAKIA YANGA, SIMBA AFARIKI DUNIA BURUNDI. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2018/01/ismail-suma-aliyedakia-yanga-simba.html. Terimakasih atas perhatiannya.