City imeipa ofa Arsenal ya Pauni Milioni 20 kumtaka Mchile huyo ambaye anataka kuungana tena na kocha Pep Guardiola, lakini United wanajiandaa kupeleka dau karibu na wanalotaka Arsenal, Pauni Milioni 35, wakati kuna mijadala inayoshawishi kiungo Henrikh Mkhitaryan awe sehemu ya mpango huo.
Inafahamika ofa ya United inaweza kuwa Pauni Milioni 25, huku Jose Mourinho akitarajia kuwapiku mahasimu wake wa nyumbani.
Mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez alikuwa anaelekea kujiunga na Man City - lakini sasa United wameingilia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Sanchez na wawakilishi wake inaaminika wamekwishakubaliana vipengele binafsi na Man City ikiwemo mshahara wa Pauni 250,000 kwa wiki, lakini United wanaweza kuwapiku.
Zote United na City zilijaribu kumsajili Sanchez wakati akijiunga na Barcelona kutoka Udinese ya Italia mwaka 2011 na tena wakati anachagua kujiunga na Arsenal kutoka Barcelona mwaka 2014.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2Dmcw6l
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms