Sanchez akiwa na rafiki yake amevalia jaketi lenye nembe la Mashetani hao Wekundu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
MSHAMBULIAJI Alexis Sanchez amesema kwamba alikuwa ana ndoto ya kuchezea Manchester United tangu akiwa mdogo hivyo amefurahi mno kutua Old Trafford kwa Mashetani Wekundu.
Picha inayomuonyesha Sanchez mdogo akiwa amevaa jaketi la Manchester United imesambaa kwenye mitandao ya kijamii saa chache baada ya kukamilisha uhamisho wake.
Mtumia Twitter kwa jina la Poets Corner ametweet picha ya Sanchez akiwa na rafiki yake amevalia jaketi lenye nembe la Mashetani hao Wekundu.
Katika mahojiano yake ya kwanza na vyombo vya habari baada ya kutua United, Sanchez amesema kwamba wakati wote alikuwa anaipenda klabu hiyo na pia alizungumza na kocha wa zamani, Sir Alex Ferguson juu ya uwezekano wa kucheza chini ya kocha huyo gwiji.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 amezungumzia kuwasili kwake Old Trafford baada ya kubadilishwa na Henrikh Mkhitaryan: "Tangu nikiwa mdogo, nilikuwa ninasema wakati wote ndoto zangu zilikuwa ni kuchezea Manchester United, na sisemi kwa sababu nipo hapa sasa na leo yametimia.
Sanchez alitarajiwa kuhamia Manchester City kwenda kuungana tena na kocha wake wa zamani, Pep Guardiola aliyefanya naye kazi Barcelona.
Hata hivyo, Man City ilishindwa kumchukua kwa kuhofia kukiuka sera zake za ulipaji mishahara, ambayo ikawapa mwanya mahasimu wao, United kumnyakua nyota huyo wa Chile.
Sanchez aliyetarajiwa kufanya mazoezi na wachezaji wenzake wapya kwa mara ya kwanza leo, anaweza kuanza kuichezea United dhidi ya Yeovil Town Ijumaa katika Kombe la FA.
Mchezaji huyo mpya kusajiliwa na Jose Mourinho yuko huru kuichezea United katika Kombe la FA baada ya kutoichezea Arsenal ikifungwa 4-2 na Nottingham Forest katika Raundi ya Tatu.
Ikiwa Sanchez hatacheza Ijumaa, basi ataanza kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Tottenham Januari 31.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2GaAgLI
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang PICHA INAYODHIHIRISHA SANCHEZ NI MANCHESTER UNITED DAMU. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2018/01/picha-inayodhihirisha-sanchez-ni.html. Terimakasih atas perhatiannya.