TIMU ya taifa ya Rwanda imelazimisha sare ya 0-0 na Nigeria katika mchezo wake wa kwanza wa Kundi C michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN jana mjini Tangiers.
Matokeo hayo yanamaanisha, Libya inaendelea kuongoza kundi hilo baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Equatorial Guinea mapema katika mchezo uliotangulia jana, mabao ya Saleh Taher mawili na Zakaria Alharash.
Sifa nyingi zimuendee kipa wa Rwanda, Eric Ndayishimiye aliyeokoa michomo mingi ya hatari na kuizuia kabisa timu ya Afrika Magharibi kushinda jana.
 |
| Ally Niyonzima wa Rwanda (kushoto) akiudhibiti mpira dhidi ya Rabiu Ali wa Nigeria jana |
Kwa ujumla Super Falcons walikuwa bora uwanjani zaidi ya Amavubi wakitawala mchezo kwa gonga safi na kushambulia zaidi, lakini wakashindwa kufanya jambo moja tu, kufunga bao.
Kiungo Djihad Bizimana, mpwa wa kiungo wa Simba, Haruna Niyonzima alichaguliwa mchezaji bora wa mechi hiyo na michezo ijayo ya kundi hilo, Amavubi itacheza na Equatorial Guinea na Nigeria itamenyana na Libya Alhamisi.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2DimeZH
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang RWANDA YAIKATALIA NIGERIA CHAN, SARE 0-0 LIBYA YASHINDA 3-0. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2018/01/rwanda-yaikatalia-nigeria-chan-sare-0-0.html. Terimakasih atas perhatiannya.