KIUNGO Sergi Roberto amezima tetesi zote za kuondoka Barcelona baada ya kukubali kusaini mkataba mpya wa miaka minne na nusu kuendelea kufanya kazi Nou Camp.
Roberto amekuwa akihusishwa na kwenda kuungana tena na kocha wake zamani, Pep Guardiola ambaye kwa sasa yupo Manchester City, lakini kocha wa Barcelona, Ernesto Valverde amehakikisha mhitimu huyo wa akadeki ya timu anasaini mkataba wa muda mrefu.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 ambaye amecheza mechi 25 msimu huu, alikuwa amebakiza miezi 18 katika mkataba wake wa sasa wenye thamani ya Pauni Milioni 35.
Pamoja na hayo, mwanasoka huyo wa kimataifa wa Hispania sasa anabaki na vinara hao wa La Liga hadi Juni 2022 na timu itakamyomhitaji itamnunua kwa Pauni Milioni 440.
Roberto amekuwa na bahati ya kushinda mataji na klabu hiyo tangu apandishwe kikosi cha kwanza Novemba mwaka 2010.
Ameshinda mataji manne ya La Liga, mawili ya Ligi ya Mabingwa na manne ya Kombe la Mfalme, au Copa del Rey na anakuwa mchezaji wa pili wa Barca kuongeza mkataba wiki hii, baada ya beki Gerard Pique ambaye alisaini mkataba mpya Alhamisi utakaomuweka Camp Noo hadi mwishoni mwa msimu wa 2021/2022.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2DteFQQ
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SERGI ROBERTO AJITIA KITANZI BARCELONA MIAKA MINNE NA NUSU. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2018/01/sergi-roberto-ajitia-kitanzi-barcelona.html. Terimakasih atas perhatiannya.