Na Mwandishi Wetu, ZANZIBAR
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mrundi Amissi Joselyn Tambwe amepanda boti mchana huu visiwani Zanzibar kurejea Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu.
Daktari wa Yanga SC, Edward Bavu ameiambia Bin Zubeiry Sports – Online leo kwamba Tambwe amelazimika kuondoka kambini mjini Zanzibar kurejea Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu zaidi ya Malaria.
“Ana Malaria, kwa siku zaidi ya nne sasa amekuwa na wakati mgumu, tumelazimika kumrejesha Dar es Salaam ili apatiwe matibabu zaidi,” amesema Dk. Bavu
Tambwe anaondoka wakati Yanga SC leo inateremka Uwanja wa Amaan, Zanzibar kumenyana na Singida United kuanzia Saa 2:15 usiku.
Amissi Tambwe amerejea mjini Dar es Salaam leo kwa ajili ya matibabu ya Malaria
Mrundi huyo amekuwa katika msimu mgumu, akianza kukaa nje tangu Agosti kutokana na maumivu ya goti kabla ya kurejea Desemba, lakini mapema Januari tena anaondolewa kambini kwa sababu ya Malaria.
Na hii inazidi kuipunguzia nguvu safu ya ushambuliaji ya Yanga kipindi hiki ambacho inawakosa wakali wake wengine wazoefu, Mzimbabwe Donald Ngoma na Mzambia, Obrey Chirwa.
Yanga sasa itaendelea kumtegemea Ibrahim Ajib pekee katika washambuliaji wazoefu kwenye hatua iliyobaki ya Kombe la Mapinduzi – zaidi ya hapo ni chipukizi akina Yohanna Oscar Nkomola, Juma Mahadhi na Matheo Anthony.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2qHGEWY
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang TAMBWE AREJESHWA DAR KWA MATIBABU YA MALARIA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2018/01/tambwe-arejeshwa-dar-kwa-matibabu-ya.html. Terimakasih atas perhatiannya.