BONDIA Anthony Joshua amefungua milango kwa ya pambano kubwa la ngumi za kulipwa uzito wa juu duniani na David Haye, ikiwa Hayemaker atashinda pambano la marudiano na Tony Bellew usiku wa Jumamosi.
Mbabe huyo anayeshikilia mataji yote ya uzito wa juu duniani kasoro moja tu, yupo kwa majadiliano ya ofa ya dola za Kimarekani Milioni 50 kupigana na bingwa wa WBC, Deontay Wilder, lakini atakuwa tayari kupigana na Haye kwanza kama dili hilo litaendelea kusuasua.
Haye amemjibu Joshua kwa kusema: "Anaweza kupata hiyo kazi na mimi. Ikiwa yeye au Wilder wako siriasi wanaweza kupata hilo pambano, hakuna tatizo,".
Anthony Joshua amefungua milango ya pambano kubwa la ngumi uzito wa juu duniani dhidi ya Muingereza mwenzake, David Haye PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Pambano kati ya Joshua na Haye linaweza kuujaza Uwanja wa Wembley siti zake zote 90,000 likitokea.
Joshua atakuwa pembezoni mwa ulingo ukumbi wa 02 kumuangalia Haye kama atalipa kisasi cha kipigo cha mwaka jana cha Bellew.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2wgi9TE
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang JOSHUA: NITAPIGANA NA HAYE KAMA ATALIPA KISASI KWA BELLEW. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2018/05/joshua-nitapigana-na-haye-kama-atalipa.html. Terimakasih atas perhatiannya.