Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI wa Mwadui FC, Paul Nonga amesema kwamba wanataka kushinda mechi zao zote zilizosalia za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara ili kumaliza katika nafasi nzuri zaidi.
Nonga ameyasema hayo baada ya ushindi wa 1-0 jana dhidi ya Mbao FC ya Mwanza Uwanja wa Mwadui Complex mkoani Shinyanga.
"Tumefurahi sana kwa ushindi huu wa nyumbani kwa sababu unatuongezea pointi ambazo zitatusaidia kumaliza katika nafasi nzuri kwenye msimamo wa Ligi Kuu,"amesema Nonga, mshambuliaji wa zamani wa Yanga.
Kwa ushindi huo uliotokana na bao la Charles Ilamfya Mwadui FC sasa inafikisha pointi 29 na kupanda hadi nafasi ya tisa kutoka ya 12 na kuzishusha Kagera Sugar yenye pointi 27, Mbeya City pointi 28 na Stand United pointi 29.
Mbao FC inabaki nafasi ya 13 kwa pointi zake 26 baada ya kucheza mechi 26.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2jjsWDl
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms