KIUNGO Alex Oxlade-Chamberlain anatarajiwa kuukosa msimu wote ujao kutokana na maumivu ya goti kwa mujibu wa taarifa iliyotoka jana.
Kiungo huyo wa Liverpool mwenye umri wa miaka 24, aliumia goti katika mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Roma mwezi Aprili.
Yalikuwa ni maumivu makubwa katika goti lake la mguu wa kulia na mwanasoka huyo wa kimataifa wa England ambaye alikwishaanza kuwa tegemeo la kocha Jurgen Klopp akakosa mechi zilizofuata.
Maumivu ya goti yatamuweka nje msimu mzima Alex Oxlade-Chamberlain PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Pamoja na goti, Oxlade-Chamberlain pia aliumia na nyama za paja na kufanyiwa upasuaji siku nane baada ya tukio na Daktari mtaalamu, Dk Andy Williams ambaye alisema anaweza kurejea November.
Lakini taarifa za sasa zinasema kwamba Oxlade-Chamberlain ameambiwa anatakiwa kuwa nje kwa miezi 12 kuanzia sasa, maana yake hatapatikana msimu mzima.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2Lw8iwb
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang OXLADE-CHAMBERLAIN KUUKOSA MSIMU WOTE UJAO LIVERPOOL. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2018/07/oxlade-chamberlain-kuukosa-msimu-wote.html. Terimakasih atas perhatiannya.