TIMU ya Al Ahly imetanguliza mguu mmoja Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Entente Setif ya Algeria katika Nusu Fainali ya kwanza Uwanja wa jeshi wa Al Salam mjini Cairo, Misri.
Kiungo mkongwe, Walid Soliman alianza kuifungia Al Ahly dakika ya 23 kabla ya Islam Mohareb kufunga la pili dakika tatu kabla ya mapumziko.
Ushindi huo unaifanya Al Ahly ifikishe mechi saba za kucheza bila kufungwa kwa mabingwa hao wa rekodi wa Ligi ya Mabingwa, mara nane tangu kocha Mfaransa, Patrice Carteron aanze kazi mwaka huu.
Islam Mohareb (katikati) akishangilia na wachezaji wenzake baada ya kuifungia bao la pili Al Ahly jana
Kilikuwa kipigo cha kwanza katika mechi saba za michuano ya Afrika kwa washindi mara mbili, Setif, ambao waliwatoa mabingwa watetezi Wydad Casablanca ya Morocco katika Robo Fainali.
Ahly ingevuna ushindi mnono kama si mabao ya Mmorocco Walid Azaro na mzawa Ahmed Hamoudi kukataliwa kwa sababu walikuwa wamezidi.
Mashabiki wenye mapenzi makubwa na timu yao, wa Ahly watasafiri kwenda kuisapoti katika mchezo wa marudiano nchini Algeria Oktoba 23.
Ahly pia iliifunga Setif 2-0 nyumbani kwake walipokutana mara ya mwisho kwenye Nusu Fainali miaka 30 iliyopita, lakini Wamisri hao wakatolewa kwa penalti baada ya sare ya jumla.
Kiungo wa Esperance, Ayman Ben Mohamed akipasua katikati ya wachezaji wa Primiero de Agosto
Mapema katika mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali uliotangulia jana, Primeiro de Agosto ya Angola iliifunga Esperance ya Tunisia 1-0 mjini Luanda, bao la dakika ya 80 la Luvumbo 'Bua' Pedro.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2O4yYtq
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms