Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
KIUNGO wa kimataifa wa Tanzania, jana alitokea benchi zikiwa zimesalia dakika mbili kuchukua nafasi ya Mhabeshi, Shimeles Bekele Godo timu yake, Petrojet ikilazimisha sare ya 1-1 ugenini na wenyeji, Al Ittihad katika mchezo wa Ligi Kuu ya Misri Uwanja wa Alexandria.
Na Bekele aliondoka uwanjani akiwa ameifungia Petrojet bao la kusawazisha dakika ya 61, baada ya mshambuliaji Muivory Coast, Razack Cisse kutanguliwa kuwafungia wenyeji dakika ya 27.
Himid hakuanzishwa jana kwa sababu wiki hii hakuwepo Misri kufuatia kuruhusiwa kwenda kuitumikia timu yake ya taifa, Taifa Stars katika mchezo wa Kundi L kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika mwakani nchini Cameroon Cameroon.
 |
| Himid Mao (kushoto) Jumanne aliisaidia Tanzania kushinda 2-0 dhidi ya Cape Verde |
Kwa upande mwingine, beki wa kimataifa wa Tanzania, Abdi Hassan Banda jana hakuwepo hata benchi wakati timu yake, Baroka FC inaibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Golden Arrows kwenye mchezo wa Kombe la Ligi Afrika Kusini Uwanja wa Pietersburg mjini Polokwane.
Inawezekana ni maumivu yalimuweka benchi Banda, kwani Jumanne hakumaliza mechi akiichezea Tanzania dhidi ya Cape Verde katika mchezo wa Kundi L kufuzu AFCON ikishinda 2-0 Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam.
Mabao ya Baroka FC yalifungwa na Collins Makgaka dakika ya kwanza akimalizia pasi ya Mtswana Onkabetse Makgantai na Tebogo Sodi dakika ya 79 akimalizia pasi ya Talent Chawapiwa.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2q3UPmj
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms