Na Mwandishi Wetu, MWANZA
MECHI zote za Ligi Kuu ya Tanzania Bara zilizofanyika leo zimemalizika kwa sare ya bila kufungana baina ya Alliance FC na Ndanda FC ya Mtwara Uwanja wa Nyamagana mjini Mwanza na Kagera Sugar dhidi ya KMC ya Kinondoni Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.
Matokeo hayo yanaiongezea kila timu pointi moja, Kagera Sugar inafikisha 11 katika mechi ya saba, KMC na Ndanda FC pointi pointi nane katika mechi ya nane na Alliance FC pointi tano katika mechi ya nane.
Mchezo mwingine wa Ligi Kuu unafuatia hivi sasa kati ya wenyeji, Azam FC dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Azam Complex, Chamazi mjini Dar es Salaam.
Wachezaji wa Alliance FC na Ndanda FC leo Uwanja wa Nyamagana mjini Mwanza
Wakati huo huo: Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema kwamba mechi za Ligi Kuu hazitaahirishwa kupisha kambi ya timu ya taifa, Taifa Stars inayojiandaa na michezo miwili ya nyumbani na ugenini dhidi ya Capoe Verde Oktoba 12 mjini Praia na Oktoba 16 Dar es Salaam.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2y8c9df
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms