Mshambuliaji wa Simba SC, Meddie Kagere akiwatoka mabeki wa Al Ahly katika mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Afrika jioni ya leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Simba SC imeshinda 1-0, bao pekee la Kagere dakika ya 65.
Meddie Kagere, Mnyarwanda mwenye asili ya Uganda akitafuta maarifa ya ya kuwatoka wachezaji wa Al Ahly
Mshambuliaji Mganda wa Simba, Emmanuel Okwi akitafuta mbinu za kumpita Karim Nedved wa Al Ahly
Emmanuel Okwi akijivuta kupiga shuti pembeni ya Ali Maaloul
Kiungo Mzambia wa Simba, Clatous Chama (kushoto) akimpiga chenga Ramadan Sobhi wa Al Ahly
Beki wa Simba Zana Coulibally kutoka Burkina Faso (kushoto) akijaribu kuzuia mpira unaopigwa na Ali Maaloul
Clatous Chama akipambana katikati ya wachezaji wa Zamalek
Mwenyekiti wa Bodi ya Ukurugenzi ya Simba, Mohammed 'Mo' Dewji akishangilia bao la Kagere leo
Kikosi cha Simba SC kilichoanza kwenye mechi dhidi ya Al Ahly leo
Kikosi cha Al Ahly kilichochapwa 1-0 na Simba leo Uwanja wa Taifa
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://bit.ly/2DuyOTQ
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms