Kiungo Mfaransa, Paul Pogba akishangilia kwa kucheza dansi kake maarufu baada ya kuifungia Manchester United bao la kwanza dakika ya 14 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Fulham leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Craven Cottage mjini London. Pogba pia alifunga bao la tatu kwa penalti dakika ya 65 baada ya Le Marchand kumchezea rafu Juan Mata na bao la pili la Mashetani hao Wekundu limefungwa na Anthony Martial dakika ya 23 na kwa ushindi huo Man United inatimiza pointi 51 katika mechi ya 26 na kupanda hadi nafasi ya nne, ikiizidi kwa pointi moja tu Chelsea inayoangukia nafasi ya tano ambayo hata hivyo ina mechi moja mkononi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://bit.ly/2GjH5Op
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms