Na Mohamed Mshangama, ZANZIBAR
SHIRIKISHO la Soka Amerika Kusini (CONMEBOL), limemfungia mcheza soka wa kimataifa kutoka Argentina Lionel messi kwa kipindi cha miezi mitatu.
Lionel messi amekumbana na adhabu hiyo kutona na maneno ya kushutumu alioyatoa mwaka huu kwenye fainali hizo zilizo fanyika Brazili
Baada ya mchezo messi alisema kuwa shirikisho CONMEBOL limeanda mashindano hayo ili Brazili ambao walikua wenyeji wachukue taji hilo.
CONMEBOL imemuadhibu na kumtwanga faini messi ya dola za kimarekani $50,000 kama moja ya faini.
Messi ataikosa michezo ya kimataifa ambapo September dhidi ya Chile na Mexico, ataweza kurudi Nov. 13 dhidi ya wapinzania wao Brazil.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2YIeV4e
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms