Na Mwandishi Wetu, NAIROBI
TANZANIA imefanikiwa kutinga hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwania tiketi ya Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) baada ya ushindi wa penalti 4-1 dhidi ya Kenya jioni ya leo Uwanja wa Moi Kasarani mjini Nairobi, Kenya.
Shujaa wa Taifa Stars leo alikuwa ni kipa mkongwe, Juma Kaseja aliyerejeshwa kikosini baada ya miaka sita ambaye aliokoa penalti ya Michael Kibwage.
Waliofunga penalti za Tanzania ni mabeki Erasto Nyoni, Paul Godfrey ‘Boxer’, Gardiel Michael na mshambuliaji Salum Aiyee.
Mshambuliaji wa Tanzania, Idd Suleiman 'Nado' akimtoka mchezanji wa Kenya, Kenneth Muguna leo Nairobi
Kenya walipata penalti moja tu, ambayo ilifungwa na Cliffton Miheso Ayisi, huku nyingine wakikosa Michael Kibwage na Joash Achieng Onyango.
Sasa Tanzania itakutana na Sudan katika hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwania tiketi ya CHAN ya mwakani nchini Cameroon, mechi ya kwanza ikichezwa Dar es Salaam Septemba 20 na marudiano Oktoba 18 Khartoum.
Kikosi cha Tanzania kilikuwa; Juma Kaseja, Paul Godfrey, Gardiel Michael, Erasto Nyoni, Kelvin Yondan, Jonas Mkude, Frank Domayo, Salum Abubakar ‘Sure Boy’, John Bocco, Iddi Suleiman ‘Nado’ na Hassan Dilunga.
Kenya; John Oyemba, Philemon Otieno, Cliffton Miheso, Mike Kibwage, Joash Onyango, Dennis Odhiambo, Samuel Onyango, Kenneth Muguna, Sydney Lokale, Whyvone Isuza na Duke Abuya.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2YoiAc5
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms