Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
KIKOSI cha Yanga kimeondoka leo asubuhi kwenda Zanzibar kuweka kambi ya wiki moja kujiandaa na mchezo wake wa kwanza Raundi ya kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Township Rollers ya Botswana mwishoni mwa wiki hii Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam.
Hiyo ni baadaya jana kulazimisha sare ya 1-1 na Kariobangi Sharks ya Kenya katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam kuhitimisha kilele cha Wiki ya Mwananchi.
Mechi ya marudiano itafanyika mjini Gaborone kati ya Agosti 23 na 25 na mshindi wa jumla atakutana na mshindi kati ya Green Mamba ya Eswatini na Zesco ya Zambia.
Kikosi kilichoingia kambini leo Yanga SC kinaundwa na makipa; Farouk Shikalo na Ramadhan Kabwili.
Mabeki; Muharram Issa ‘Marcelo, Cleofas Sospeter, Ally Mtoni ‘Sonso’, Ally Hamad Ally na Lamine Moro.
Viungo ni Mohamed Issa ‘Banka’, Raphael Daudi, Papy Kabamba Tshishimbi, Patrick Sibomana, Issa Bigirimana, Mapinduzi Balama, Moustafa Suleiman, Gustafa Simon, Deus Kaseke, Mrisho Ngassa na Abdullaziz Makame wakati washambuliaji ni Maybin Kalengo, Juma Balinya, Sadney Kholtage na David Molinga ‘Falcao’.
Wachezaji wengine waliokuwa na timu ya taifa nchini Kenya kipa Metacha Mnata mabeki, Paul Godfrey, Kelvin Yondan na kiungo Feisal Salum watajiunga na timu kesho baada ya kurejea leo jioni kutoka Nairobi.
Hata hivyo hakuna uhakika wa Yondan kwenda kambini, kwani yeye na Andrew Vincent ‘Dante’ na Juma Abdul waligoma kushinikiza wamalipwe stahiki zao. Kiungo Juma Shaaban Mahadhi yeye hayupo kambini kwa sababu ni majeruhi.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2M2dN9D
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms