• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ▼  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ▼  Agustus (411)
      • UK Racing Best Bets - Sunday 1 September
      • BARCELONA YABANWA, YATOA SARE YA 2-2 NA OSASUNA LA...
      • LIVERPOOL YASHINDA MECHI YA 13 MFULULIZO LIGI KUU ...
      • DULLAH MBABE ATWAA TAJI LA WBO BAADA YA KUMPIGA MC...
      • AGUERO AFUNGA MAWILI MAN CITY YAICHAPA BRIGHTON 4-0
      • TAMMY ABRAHAM APIGA MBILI LAKINI CHELSEA YALAZIMIS...
      • REFA AWANYIMA PENALTI MAN UNITED WATOA SARE 1-1 NA...
      • KABWILI NA ALLY NG’ANZI WAITWA KIKOSI CHA BARA CHI...
      • MO DEWJI AWATULIZA WANA SIMBA SC BAADA YA KUTOLEWA...
      • Fairview Best Bets Monday 2 September 2019
      • Hollywoodbets Greyville Best Bets - Sunday 01 Sept...
      • Turffontein Best Bets Saturday 31 August 2019
      • UK Racing Tips - Saturday 31 August 2019
      • Europa League Group Stage Draw
      • Player Profile: Pukki the ‘Finn’isher
      • International Racing: Sha Tin Best Bets Sunday 1 S...
      • Stand a chance to win a R500 SPAR voucher
      • Imali or Ibhokisi Terms and Conditions
      • International Rugby: Georgia v Scotland Preview
      • Aphiwe Dyanti B Sample Returns Positive for Banned...
      • French Top 14: Round 2 Preview
      • New Racing Markets: Racing Blitz and Daily Double
      • UEFA Champions League Awards and Reactions
      • Phaka Predictions - Currie Cup Semi Finals
      • Champions League Draw: Liverpool Grouped with Napoli
      • TAIFA STARS WALIVYOANZA KUJIFUA LEO BOKO VETERANI ...
      • SAMATTA APANGIWA LIVERPOOL, NAPOLI NA SALZBURG KUN...
      • VAN DIJK NDIYE MWANASKA BORA ULAYA, AWAANGUSHA MES...
      • JKT TANZANIA 1-3 SIMBA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
      • UK Racing Best Bets - Friday 30 August 2019
      • SIMBA SC YAANZA VYEMA LIGI KUU, YAWACHAPA JKT TANZ...
      • Spring's the Thing!
      • EPL: Arsenal vs Tottenham Preview
      • MAKAMU WA RAIS WA ZAMANI WA TFF, NASSIB AFARIKI DU...
      • Fairview Best Bets Friday 30 August 2019
      • ATP Tour 2019: US Open Preview (Round of 64)
      • WTA Tour 2019: US Open Preview (Round of 64)
      • SANCHEZ ATUA MILAN KUKAMILISHA UHAMISHO WA MKOPOPO
      • UK Racing Tips - Thursday 29 August 2019
      • JACKPOT KUBWA YA KIHISTORIA YA TANZANIA, SH MILION...
      • YANGA SC 0-1 RUVU SHOOTING (LIGI KUU YA TANZANIA B...
      • KMC 0-1 AZAM FC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
      • YANGA SC YAANZA VIBAYA LIGI KUU, YACHAPWA BAO 1-0 ...
      • EPL: Arsenal vs Tottenham Preview
      • German Bundesliga: Week 3 Preview
      • English Premier League: Gameweek 4 Preview
      • Italian Serie A: Week 2 Preview
      • MTN8: Semifinals 1st Leg Preview
      • Hollywoodbets Scottsville Polytrack - Results and ...
      • European Tour: Omega European Masters
      • NFD: Week Three Preview
      • Spanish La Liga: Gameweek Three Preview
      • Rugby World Cup: Top Try Scorer Tips
      • Rugby World Cup: Top Try Scorer Tips
      • Mitre 10 Cup: Round 4 Preview
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA DOUGLAS MUHANI, MC...
      • All Blacks Announce Powerful World Cup Squad
      • Hollywoodbets Scottsville - Wednesday 28 August 20...
      • Currie Cup Semi-Final: Cheetahs v Sharks Preview
      • Rassie Made the Right Calls
      • SIMBA SC KUTOLEWA MAPEMA LIGI YA MABINGWA KUNA FUN...
      • AZAM FC YAANZA VYEMA LIGI KUU TANZANIA BARA, YAICH...
      • What We Learned from the past Weekend of Rugby Action
      • Springbok Player Profile: Siya Kolisi
      • WTA Tour: US Open Preview
      • ATP Tour: US Open Preview
      • Hollywoodbets Murray Cup 2019 - Semi-Final Results
      • 2019 KZN Racing Awards
      • UK Racing Best Bets - Wednesday 28 August 2019
      • WACHEZAJI 40 WAITWA KIKOSI CHA AWALI CHA TIMU YA T...
      • First T20I: Sri Lanka vs New Zealand
      • Second Test: West Indies vs India
      • Ravichandran Ashwin vs Quinton de Kock - the key c...
      • Durbanville Tuesday 27 August 2019 Best Bets
      • HONGERA YANGA SC KWA KUITOA ROLLERS, LAKINI ILI KU...
      • UK Racing Best Bets - Tuesday 27 August 2019
      • 31 Springboks Announced for the 2019 Rugby World C...
      • Team of the Week: EPL Round 3
      • GRIEZMANN APIGA MBILI BARCELONA YAICHAPA REAL 5-2 ...
      • Rugby World Cup News: Week 5
      • Brutal England Pound Ireland at Twickenham
      • Sharks hold off 14-Man Bulls to Qualify for Currie...
      • Flamingo Park Best Bets Monday 26 August 2019
      • UK Racing Tips - Monday 26 August 2019
      • KOVALEV AMDUNDA ANTHONY YARDE KWA KO RAUNDI YA 11 ...
      • AGUERO AFUNGA MABAO MAWILI MANCHESTER CITY YASHIND...
      • LIPULI YAANZA VYEMA LIGI, YACHAPA MTIBWA SUGAR 3-1...
      • SIMBA SC 1-1 UD SONGO (LIGI YA MABINGWA AFRIKA)
      • SIMBA SC YAAMBULIA SARE 1-1 NYUMBANI NA UD SONGO N...
      • CHAMA, SHEKHAN NA MAREHEMU MUSSA MSANGI ENZI ZAO S...
      • Hollywoodbets Greyville Polytrack - Results and Re...
      • Rugby World Cup: Top Try Scorer Tips
      • Currie Cup 2019: Lions v Griquas Preview
      • MAHOJIANO MAALIM BIN ZUBEIRY NA ISSA MANOFU
      • AZAM FC 3-1 FASIL KENEMA (KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA)
      • KMC 1-2 AS KIGALI (KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA)
      • TOWNSHIP ROLLERS 0-1 YANGA SC (LIGI YA MABINGWA AF...
      • UK Racing Best Bets - Sunday 25 August 2019
      • SALAH APIGA MBILI LIVERPOOL YAWABAMIZA ARSENAL 3-1...
      • CHELSEA YA LAMPARD YAZINDUKA ENGLAND, YASHINDA 3-2...
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » YANGA SC WANA WIKI YA MWANANCHI, SIMBA DAY KAMA KAWAIDA

YANGA SC WANA WIKI YA MWANANCHI, SIMBA DAY KAMA KAWAIDA

Na Dominick Salamba, DAR ES SALAAM
KUNA wakati unawaza hivi wale ambao wanahangaika kutaka kuhama Bongo wanawazaga nini?kwani ukiwaza burudani,utani,mizaha na mbwembwe zimezagaa kila kona,wabongo ni watu fulani maridadi sana,watu wa kikimbiza muda,watu wa mipango ingawa si lazima ikamilike na ikibuma basi fasta kwa lugha ya Mbagala wanahamia mchongo mwingine ili mambo yaende,ukianzia utani wa makabila,kisha unatumbukia kwa wanamuziki na fleva zao ujakaa sawa mara unakutana na Simba na Yanga hapa ndio unatulia na kuvuta kiti,kama utaagiza kahawa,alkasusu,juice,au  vile vitu vichungu lakini vinapendwa hiyo wewe tu.
Tuachane na wabongo na madoido yao turudi kwenye mpira wetu,soka letu,ulevi wetu ambapo kuna wakati unapata mauvimu bila kipigo na ukiwa dhaifu mchozi utakutoka tuu.Katika kipindi kitamu cha soka la bongo ni kipindi cha usajili ambapo kuna kuwa na mambo mengi tambo nyingi,misemo mingi na matumaini ya kupitiliza juu ya ubora wa vikosi vya Simba na Yanga ingawa ligi ina timu 20 ila ukifika kwa timu hizi 2 inatakiwa upige breki na uwe na roho pia.Siku za karibu yakaibuka mengine mazito na kuendelea kunakshi mpira wetu na kuzidisha utani wa jadi wa timu hizi mbili kwani kuna kitu au tukio linahitwa WIKI YA MWANANCHI ambayo kimsingi ilitakiwa ianze tarehe 21/7 hadi 27/7 ambayo ndio ingekuwa siku ya kilele ambapo mambo mbalimbali yangeitimishwa katika dimba la Taifa lakini kutokana na muingiliano wa ratiba na michuano ya CHAN ikabidi isogee hadi tarehe 4/8 ambapo ndio itakuwa kilele na ile ya SPORTPESA SIMBA DAY nayo imebidi irudi nyuma kutokana na ratiba ya kuanza michuano ya klabu bingwa barani Afrika na badala ya kilele kuwa tarehe 8/8 sasa itarudi kwa siku mbili na kuwa tarehe 6/8.
Nia na madhumuni ya matukio yote mawili ni kujaribu kutoa nafasi wa wanachama na mashabiki wa timu hizi kuweza kuwatajuwa wachezaji wao,kutambulisha jezi na  kutoa burudani,ingawa Yanga wamekwenda mbali zaid katika siku hii kwani wameendelea kufanya shughuliza kijamii maeneo mbalimbali nchi nzima na kutoa misaada kwa wahitaji lakini pia kutoa nafasi kwa mashabiki kukutana katika maeneo yao na kujadili mambo mbalimbali nilipata bahati ya kuhudhuria baadi ya matamasha yanayoendelea nchini ni jambo la fahari sana kwani moyo walionao wapenzi wa timu na kujitoa kwao kama kukitafsiriwa katika uwanja wa kiuchumi na kukuza pato la klabu ni zaidi ya uwekezaji kwani ni hari na morali ya hali ya juu sana.
Kwanini leo nimeona nizingumzie hili,sababu kubwa ni hizi najua Simba na Yanga hakuna ambaye anakubali kusifia au kuona anafanya jambo la mwingine hata kama ni la tija kitu ambacho nadhani si sawa ifike mahali timu zote mbili ziwe flexible katika kuchukuwa yale mazuri ya upende mmoja na kuyaamishia kwao ukizingatia ili maendelea yafikiwe ni lazima ukubali kujifunza bila kujali unajifunza kwa nani kikubwa ni umuhimu wa kile unachojifunza.
Watanzania zaidi ya milioni 40 ni washabiki wa timu hizi mbili ambao kama utaamua kuwashirikisha na kufanya wawe sehemu za hizi timu bila shaka ni faida kubwa itapatikana kwani endapo watawekewa utaratibu wa kusajiliwa kwa njia za kisasa na kutambulika kwa kupewa kadi kulingana na kipata wanachochangia kupitia matawi yao ni zaidi ya makusanyo ambayo yatapatikana uku yakienda kufanya vitu ambayo vitageuka kuwa vitega uchumi kwa klabu hizi kongwe hapa nchini..
Lakini pia endapo Simba na Yanga wataamua kufungua vituo katika kanda mbalimbali na hivi vituo kuwa  vinaendesha mafunzo ya soka,kutoa huduma za jamii kama hospitali,shule na vingine vingi hii itapelekea wale mashabiki kuona wanafaidika moja kwa moja na michango yao iwe kwa njia ya malipo ya kadi au namna yeyote itakayopendekezwa na klabu.
Kwani tunajua makao makuu ya hizi timu yapo Dar-es- salaam lakini zina mashabiki nchi nzima kama tulivyoona kwenye wiki ya mwanachi lakini pia hata timu zinapokwenda kucheza mikoani tunaona mwitikio wake.
Jambo lingine umefika wakati wa kufanya jitihada za kujua takwimu halisi za mashabiki ili iwe rahisi kubuni mbinu nzuri na rahisi za kuwafanya wawe sehemu ya timu tofauti na sasa ambapo ni makisio kitu ambacho hakiwezi kuzipeleka timu hizi kwenye mipango na maendeleo ya kweli kwani takwimu ndio dira pekee ya kuelekea kwenye maendeleo na kujua vipaumbele gani vianze na vipi vifuatie,leo hii makampuni ya mawasiliano Tanzania yamefanikiwa sana kukuwa kiuchumi kwa kutumia uwingi wa Watanzania ambapo Watanzania hao sehemu kubwa ni Simba na Yanga,je vilabu vina maono gani na uwingi huu wa watanzania?
Nirudi kwa viongozi tambueni kuwa sio lazima mipango yote ya maendeleo mtakayo ianzisha au kushauriwa ni lazima izae matunda mkiwa bado madarakani ili mpate sifa hapana,mingine acha iende kutoa tija miaka ya baadae na ile hofu ya kuona hamtakuwa sehemu ya mafanikio haina mashiko kwani bado mtabaki kua ni waasisi wa hayo maamuzi na mipango na bado mtakumbukwa tu. Kwani kumekuwa na kasumba ya kutaka vitu vya mda mfupi ili watu waone ninyi ndio mmefanya.
Pia kuna swala la sare au jezi ambazo zimekuwa ndio alama ya timu hizi na vifaa vingine,ifike wakati msimamie kidete kwa kuweka mipango madhubuti kwa kushirikiana na wawekezaji au makampuni mengine ili jezi na vifaa vingine viweze kutoa tija kwa vilabu hivi pendwa ambavyo vina historia kubwa katika Taifa letu.
Mwisho nipende kuwaasa mashabiki na wanachama kuwa tambueni kua hizi ni timu zenu na mafanikio ya timu hizi ndio furaha yenu lazima muwe wepesi katika kusapoti yale ambayo mnaletewa na viongozi wenu ili timu ziweze kusonga mbele msiwe sehemu ya migogoro isiyo na tija na nategemee mtatoa mwitikio chanya kwenye matukio haya makubwa kwa maana ya siku ya kilele cha WIKI YA MWANANCHI na SPORTPESA SIMBA DAY.
natamani kuona watu kutoka mikoa yote mkiujaza uwenja wa Taifa kwa rangi zenu kama ilivyo desturi huku mkiwa watulivu na wasikivu na kuhakikisha amani na upendo wetu Watanzania unatawala na kutamalaki pia.
Timizeni wajibu wenu ili mrudishe mzigo wa lawama kwa viongozi endapo watashindwa kuyatimiza yale mliowatuma.

(Dominick Salamba ni mchambuzi wa michezo, pia anapatikana kupitia Instagram akaunti kupitia @dominicksalamba namba   +255713942770)


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2YErX2D best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang YANGA SC WANA WIKI YA MWANANCHI, SIMBA DAY KAMA KAWAIDA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2019/08/yanga-sc-wana-wiki-ya-mwananchi-simba.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 12.23
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itaingia kambini Juni 1 katika hoteli ya White Sands mjini ...
  • Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    You could win a R200 Hollywoodbets betting voucher. Simply comment on the competition post who is your favourite jockey, trainer combo of ...
  • World Cup Qualifiers: Selected Quad Preview
    Our footy writer previews four eye-catching 2018 World Cup qualifiers that are worth a dabble.  Club football goes on hold as the interna...
Copyright Viral Sports: YANGA SC WANA WIKI YA MWANANCHI, SIMBA DAY KAMA KAWAIDA