Sadio Mane (kulia) akishangilia na beki Virgil Van Dijk baada ya kuifungia Liverpool bao la tatu dakika ya 51 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Manchester City kwenye Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield leo. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Fabinho dakika ya 6 na Mohamed Salah dakika ya 13, wakati la Man City limefungwa na Bernardo Silva dakika ya 78. Kwa ushindi huo, Liverpool inafikisha pointi 31 baada ya kucheza mechi 11 na sasa inawazidi pointi sita mabingwa watetezi, Man City ambao wanaporomoka hadi nafasi ya nne wakizidiwa ponti moja na zote Leicester City na Chelsea PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2Nxsxgg
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms