Na Asha Said, DAR ES SALAAM
KIPA namba moja wa timu ya Simba, Aishi Manula amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya taifa, baada ya jana kutajwa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars) kitachoshiriki michuano ya CECAFA Senior Challenge nchini Uganda .
Chini ya kocha wa sasa Etienne Ndayirajige, Manula aliitwa mara moja pekee katika mechi za awali kufuzu CHAN, lakini kuumia kukamuweka pembeni, hakujumuishwa tena Katika mtanange mingine ikiwamo kufuzu Makundi ya awali Kombe la Dunia pamoja na Afcon mechi za awali.
Katika kikosi hicho kipya cha Tanzania Bara wameitwa wachezaji wapya kutoka timu mbalimbali za ligi kuu ambao ni Juma Abdul (Yanga),Nickson Kibabage (Difaa El Jadid) ,Mwaita Gereza (Kagera Sugar), Abdulimajid Mangalo(Biashara United), Fred Tangalu (Lipuli) na Kikoti Lucas (Namungo).
Wengine ni Yussuf Mhilu (Kagera Sugar), Eliud Ambokile (TP Mazembe), Paul Nonga (Lipuli), Mkandala Cleophace (Tz Prisons) na Zawadi Mauya (Kagera Sugar) .
Wachezaji waliokuwa kwenye kikosi cha hivi karibuni Juma Kaseja (KMC), Matecha Mnata na Kelvin Yondani (Yanga), David Kisu(Gor Mahia), Salum KImenya(TZ Prisons), Bakari Mwamnyeto(Coastal Union)Mohamed Hussein, Miraji Athuman,Jonas Mkude, Muzaru Yassin, Gadiel Michael na Hassan Dilinuga (Simba).
Wengine ni Shaaban Chilunda, Salum Abubakar Sure Boy na Idd Seleman (Azam) Ditram Nchimbi(Polisi Tanzania), Keklvin John( Football House) na Eliuther Mpepo (Bulidco-Zambia).
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/35JgnqV
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms