TIMU ya Manchester City ikifuzu Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya itakutana na Juventus au Lyon, wakati Chelsea itamenyana na ama Napoli au Barcelona kama watapindua matokeo dhidi ya Bayern Munich.
City ipo kwenye nafasi nzuri ya kutinga Robo Fainali baada ya ushindi wa 2-1 dhidi Real Madrid kwenye mchezo wa kwanza wa Hatua ya 16 Bora Februari 26 Uwanja wa Bernabeu na zitarudiana Uwanja wa Etihad Agosti 7.
Wakati huo huo, Chelsea wana mtihani mgumu kufuzu Robo Fainali baada ya kuchapwa 3-0 nyumbani na Bayern Munich Februari 25 na mechi ya marudiano itafuatia Ujerumani Agosti 7 pia.
Nao RB Leipzig baada ya kuitoa Tottenham katika 16 Bora itamenyana na Atletico Madrid, wakati Atalanta watamenyana na vigogo wa Ufaransa, Paris Saint-Germain na mechi hizo zitapigwa kati ya Agosti 12 na 15.
RATBA KAMILI YA LIGI YA MABINGWA
Robo Fanal
Jumatano, Agosti 12: Atalanta vs PSG
Alhamisi, Agosti 13: RB Leipzig vs Atletico Madrid
Ijumaa, Agosti 14: Barcelona/Napoli vs Bayern Munich/Chelsea
Jumamosi, Agosti 15: Manchester City/Real Madrid vs Juventus/Lyon
Nusu Fanal
Jumanne, Agosti 18: Mshindi Robo-Fainali 2 vs Mshindi Robo-Fainali 1
Jumatano, Agosti 19: Mshindi Robo-Fainali 4 vs Mshindi Robo-Fainali 3
Fainali
Jumapili, Agosti 23:
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2ZZgnlo
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms