TIMU ya Manchester United itamenyana na ama Copenhagen au Istanbul Basaksehir katika Robo Fainali ya UEFA Europa League ikiwa wataitoa LASK.
Man United pia inaweza kukutana na Wolves katika Robo Fainali itakayohusisha tmu za England tupu.
Wolves, wao wana mchezo mgumu wa Robo Fainali dhidi ya ama Sevilla au Roma ikiwa wataitoa Olympiacos kwenye hatua ya 16 Bora.
Manchester United itamenyana na Copenhagen au Istanbul Basaksehir katika Robo Fainali ya Europa League PICHA ZAIDI GONGA HAPA
RATIBA KAMILI
Robo-Fainali:
Wolfsburg / Shakhtar Donetsk vs Frankfurt / FC Basel
Manchester United / LASK vs Istanbul Basaksehir / FC Copenhagen
Inter Milan / Getafe vs Bayer Leverkusen / Rangers
Olympiacos / Wolves vs Sevilla / Roma
Semi-finals:
Mshindi RF 4 vs Mshindi RF 2
Mshindi RF 3 vs Mshindi RF 1
Rangers watakutana na Inter Milan au Getafe kwenye Robo Fainali kama watapindua kipigo cha 3-1 kwenye mechi ya kwanza dhidi ya Bayer Leverkusen.
Kikosi cha Ole Gunnar Solskjaer kimetanguliza mguu mmoja Robo Fainali baada ya ushindi wa 5-0 dhidi ya LASK ya Austria kwenye mchezo wa kwanza mwezi Machi.
Mechi yao ya Robo Fainali dhidi ya ama Istanbul Basaksehir ya Uturuki au Copenhagen ya Denmark itachezwa Agosti Ujerumani. Basaksehir inaongoza 1-0 baada ya mechi ya kwanza.
Wakati huo huo, Wolves walitoa sare ya 1-1 na Olympiacos ya Ugiriki mwezi Machi, lakini watakuwa na Robo Fainali ngumu dhidi ya Sevilla au Roma, ambao bado hawajacheza mechi hata moja kutokana na kusimama kwa mashindano hayo kwa sababu ya mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3fo8b4U
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms