Na Mwandishi wetu, DAR ES SALAAM
KLABU ya Mbeya City imeachana na aliyekuwa kocha wake Mkuu, Amri Said Juma ‘Stam’ kutokana na mwendendo mbaya wa timu katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara.
Taarifa ya Afisa Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Emanuel Kimbe jana ilisema kwamba maamuzi hayo yalifikiwa baina ya pande mbili baada ya majadiliano kutokana na mwenendo usioridhisha wa timu katika ligi kuu inayoendelea.
Amri Said, beki wa zamani wa Simba SC alijiunga na Mbeya City Desemba mwaka jana ikiwa katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu msimu huu uliopita.
Lakini timu hiyo ikalazimika kwenda kucheza Play Offs dhidi ya Geita Gold ili kubaki Ligi Kuu na msimu huu hadi sasa inashika mkia kwenye ligi hiyo ikiwa na pointi mbili tu baada ya kucheza mechi saba, ikitoa sare mechi mbili na kufungwa tano.
Na katika kipindi hiki cha mpito, Mbeya City itakuwa chini ya aliyekuwa Msaidizi wa Amri Saidi, Mathias Wandiba hadi hapo maamuzi mengine yatakapofanyika.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/31ugRBI
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms