Nyota Neymar akishangilia baada ya kuifungia Brazil mabao matatu dakika za 28 na 83 kwa penalti na lingine dakika ya 90 na ushei katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Peru kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia Amerika Kusini usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Taifa wa Lima, Lima.
Sasa mshambuliaji huyo wa Paris Saint-Germain amefikisha mabao 64 timu yake ya taifa, mawili zaidi ya Ronaldo na 13 nyuma ya Pele, ambaye anaongoza kwa mabao yake 77 kwa mujibu wa hesabu na takwimu za Shirikisho ka Soka la Kimataifa (FIFA).
Bao lingine la Brazil limefungwa na Richarlison dakika ya 64, wakati mabao ya Peru yamefungwa na André Martín Carrillo dakika ya sita na Renato Fabrizio Tapia dakika ya 59 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/34UAQue
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang NEYMAR APIGA HAT TRICK NA KUMPIKU RONALDO KWA MABAO BRAZIL. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2020/10/neymar-apiga-hat-trick-na-kumpiku.html. Terimakasih atas perhatiannya.